Hivi sasa vyombo mbalimbali vya kimataifa vya habari vya nje kama vile vya CNN, Aljazeera, BBC na vingine vingi, "headlines" ya habari zao ni kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa Mbowe na...
Mitandaoni hususan Twitter, kuna kelele nyingi zinazoitwa 'madai ya Katiba Mpya'
Ukitazama vizuri utagundua kwamba huo ni mradi wa watu. Yes, kuna mahali wanapata fedha kupiga hizi kelele...
Kuna swali linaulizwa na wengi, hii Serikali ni ya Awamu ya ngapi? Kwa Utamaduni hatarishi ya CCM watakwambia ni Awamu ya 5 iliyoanza na Dk. Magufuli (the late).
Ukweli ninaoujua ni kwamba hii ni...
Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya...
MAISHA:
Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu.
Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama...
Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina...
Wanapenda mabadiliko.
Hapa ni maalum kwa ajili ya kupata matokeo ya Bunge la Katiba.
Nimebaini kuna wadau wetu wengi sana wanakosa pahala maalum kwa ajili ya kufuatilia kuhusu 2/3 na matokeo kwa...
Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli, sasa mbona kama mliwasha moto...
Kuna habari imenifikia mida hii kuwa kuna mtu anaesadikiwa akiwanga kwenye eneo kunapofanyika mkutano wa bunge lakatiba ,mwenyewe anadai ameanguka akitokea Zaire Congo akielekea Msumbiji ,amedai...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili adhimu sana,
Sasa nadhani imefika wakati wananchi tuamke na kukataa huu uzombi unaotutesa; Taifa letu limekuwa halieleweki, mpaka sasa hakuna anaejua kesho...
Ni wazi Rais Samia atasikiliza kilio cha Watanzania juu ya kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya mchakato aliousimamia yeye binafsi akiwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba...
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .
Tudai katiba mpya kwa nguvu zote, naunga mkono juhudi zote zinazoendelea.
LAKINI NAULIZA SWALI:
Kama tuna Majaji kama hawa tunaowaona katika kesi ya Mbowe, je Katiba mpya itawabadirisha? Maana...
MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI
BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA
MALUMBANO YA HOJA
KATIKA TELEVISION YA...
Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii...
Wadau nawasabahi.Katiba iliyopo ni katiba iliyoandaliwa na makada wa CCM kutoka tanzania bara Tanganyika na Zanzibar kila upande ukiwa na wajumbe wasiozidi 10.
Wajumbe hao walijifungia na...
Kwa muda mrefu,pamekuwa na jitihada na mashinikizo kutoka kwa vyama vya siasa,asasi za kiraia na wananchi wenye mapenzi mema na taifa lao la Tanzania.Harakati zote hii zimechochewa na jinsi katiba...
Nimekuwa anafuatilia baadhi ya hotuba za Hayati Baba wa Taifa hili Mwl. Julius Nyerere
Moja ya hotuba yake ni ile aliyoizungumzia Katiba liliyopo kuwa ni Katiba ambayo ikimpata Rais atakayeitumia...
Pongezi sana kwa Mbowe lakini watanzania hatujafanya yanayotupasa
Nchi ili ikamikishe maendeleo lazima ipitie kwenye hatua chungu na za wakati mgumu kwa baadhi ya wapigania haki kupata mateso...
Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi.
Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.