Katiba izuie uchama bungen wabunge wakichaguliwa wakishaingia bungen wacjitenge na kuanza kujidai mm wa chadema yy wa ccm yaan iwabane mpka waseme ndio vilevle ktk ziara za raic,mawazir n.K vyama...
Kurugenzi ya ikulu imekanusha kupokea maombi ya kuongeza posho kwa wajumbe wa bunge la katiba mpya,bali maombi yaliyopokelewa ni kubadilisha posho ya kujikimu kuwa ya kikao na ya kikao kuwa ya...
WanaJF,
Rais mstaafu wa JMT, ndugu Benjamin Mkapa, ametoa maoni hayo akiwa kwenye hafla fupi ya kuzindua vitabu vyenye hotuba zake zote za kipindi alichokuwa rais wa JMT.
Ndugu Mkapa amesema...
Suala la kura ya wazi au ya siri limesumbua mjadala wa kanuni za bunge la katiba mpya:
Mapungufu: Kamati ya Prof Mahalu imelirudisha suala hili kwa wajumbe bila kulichambua (kulitafuna) na...
Dodoma. Hofu imetanda kuhusu uwezekano wa kuvunjika kwa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na hatua ya CCM kutumia wingi wao kutaka kupitisha utaratibu wa kupiga kura za wazi.
Baadhi ya wajumbe wa...
Wajumbe wengi wa Bunge la Katiba wamesema kuwa wanamtaka Samwel Sitta kama Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge hilo. Wakizungumza nami kwa nyakati tofauti hapa Dodoma,Wajumbe hao waliojipachika jina la...
Hivi kweli jamani hawa ndio tunategemea watuletee katiba mpya? wameshindwa wote kwa pamoja kujua kuwa madhara ya kura ya wazi ni makubwa kuliko kura ya siri?
Sasa hiyo katiba inayopendekezwa...
Taasisi ya isiyokuwa ya kiserikali ya Mwalimu Nyerere Ideology Conservatiom Society ya jijiniTanga,imefungua kesi mahakama kuu kupinga mchakato wa katiba mpya unaoendelea mijini Dodoma kwa sasa...
Fears are mounting over possible failure to get a credible new constitution as the Constituent Assembly gears up for take-off today, The Guardian on Sunday can reveal.
In just two weeks since the...
Baada ya msuguano wa #Posho, Bunge letu maalum la Katiba limepoteza karibu wiki nyingine nzima kubishana kuhusu uamuzi wa kuwa na Kura ya Wazi au Kura ya Siri. Tayari wiki mbili zimepita la Bunge...
Ndugu zangu watanzania, baadhi yetu hawana uelewa wa kutosha wa Bunge Maalum la Katiba litakalojadili na kupitisha Rasimu ya pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikiwa kama...
Taasisi hiyo inapinga mchakato huo wa Katiba kwa kile inachodai kuwa ni kasoro zilizojitokeza, ikiwamo wananchi kukosa uwakilishi uliotokana na ridhaa yao, posho kubwa wanayolipwa wajumbe na...
Alhamisi, Januari 16, 2014 08:04 Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
*Lengo ni kuhakikisha mfumo wa kuwa na Serikali Tatu haupiti
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewapanga wabunge na...
nimeangalia bunge la katiba mara nyingi. kila mjumbe aliyekuwa anasimama nilimsikia hadi mwisho. nilichoona ni kama ifuatavyo;-
1. kila mbunge wa ccm aliyesimama alisapoti kura ya wazi, hata wale...