Wanabodi
Kuna mengi yanaendelea dodoma. Mwenyekiti wa muda asilimia kubwa anawapendelea wanasiasa tuvktk kuchangia ambapo asilimia kubwa ni ccm. Ccm wana rasmu ya katiba ya kwao tayari na...
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joseph Selasini ametishia atakuwa wa kwanza kuondoka bungeni kama CCM watafanikisha kampeni zao za kuwashawishi wajumbe wake kutetea misimamo mbalimbali...
Kila nikikaa najiuliza kama hawa CCM wapo tayari kuipokea habari ya kushindwa ,maana habari ya kushindwa itaanzia kwenye Bunge la katiba na kuendelea kuwa mtiririko hadi kisinyae na kutokujulikana...
HATIMAYE Prof. Costa Mahalu,
mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri
wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge
Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia...
Nimejaribu kuweka baadhi ya wachangiaji ambao mwenyekiti kawakata muda wao na wengine kuongezewa. Ushauri wangu kwa mwenyekiyi ni vizuri kutumia haki pasipo kubagua baadhi ya wajumbe. Labda kama...
Mimi nafikiri tumefanya kosa kubwa kuruhusu hawa wajumbe wa Bunge la katiba kuanza mchakato huu ikiwa ni pamoja na kuandaa kanuni za kuendesha Bunge hilo kabla ya kuwapatia semina maalumu juu ya...
Akizungumza katika kipindi cha kipima joto kinachorushwa na Itv kamishna wa tume ya katiba Humprey polepole amependekeza kura iwe ni jambo la siri. Amesema ni jambo la kushangaza kwa wale...
Kuna mkongwe ameniambia kuwa kipindi kile cha vuguvugu la G55 na Tanganyika,mzee ruksa alituma kikosi kazi kwenda kumuona Mwalimu Nyerere ili atoe ufafanuzi juu ya misingi ya katiba/serikali...
WanaJF
Bunge linaendelea hivi sasa na limeanza kwa kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizo tolewa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba.
Kamati iliyokuwa ikiratibu uandaaji wa rasimu ya...
Fuatilia Bunge la katiba live TBC na Star Tv.
Leo ni semina ya kanuni kwa wajumbe wa Bunge maalumu la katiba na kwa hivi sasa kinachosubiriwa ni ugawaji wa rasimu za kanuni kwa wajumbe ingawa...
Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba,Ndugu Pandu Ameir Kificho, leo ataonja adha ya madaraka aliyonayo atakapowaongoza Wajumbe wa Bunge hilo kupitisha kifungu kwa kifungu Kanuni zitakazoongoza...
"Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na...
Mh rais wa jamhuru ya muungano ya tanzania nikiwa kama mtanzania ninalo jukumu na deni kwa nchi yangu na watu wake kushiriki kwa namna moja au nyingine kushiriki katika mchakato unaoendelea nchini...
Amenishangaza mama mmoja mjumbe wa bunge la katiba aliposema kuwa nchi ambazo zimekuwa zikipiga kura ya siri kupitisha katiba zao ni nchi za mashoga. Ameyasema hayo leo alipokuwa akipinga upigaji...
Tatizo TBC hawataki ku stream LIVE online (youtube na kwenye website yao) lakini kuna wenzetu wazalendo wameirekodi na kuiweka online ili wengine wapate kuona mijadala inavyooendelea mle ndani...
Kwa nini wajumbe wote walio changia kutaka kura ya WAZI ni CCM, lakini wanao taka kura ya SIRI ni wanatoka makundi mbarimbari?
Hawa ni baadhi ya wanaotaka kura ya WAZI
1.Pfr.Anna Tibaijuka...
Maoni yangu tuwe na Serikali moja tu. Maana Ni Jamhuri ya muungano, Tanganyika na Zanzibar ziliungana kutengeneza serikali moja kwa nini ziwe mbili au tatu? Kwa mfano Mme na mke wakiungana...
Written by makame silima // 28/02/2014 // Habari // 2 Comments
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Bulaya akichangia hoja juu kuhusu Kanuni za Bunge, Dodoma jana. Bulaya, ambaye ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.