Katika katiba mpya itafaa sana kama kutabainishwa ukomo wa mikataba inayosainiwa na viongozi wetu akiwemo RAISI, WABUNGE na WENGINEO. Itakuwa beneficial sana kama mikata wowote ule usipozidi miaka...
Kutokana na taarifa za ikulu kuwa raisi atasaini mswada wa katiba mpya,
majina ya chenge na sitta ndo yanatajwa zaidi katika kinyanganyiro cha uspika.
Na kmbi rasmi bungeni ni cuf kutokana na kuwa...
Nimefika Dodoma tangu wiki iliyopita mwanzoni na nimekuwa nafuatilia mwenendo wa bunge la katiba. Watu wamekuwa wakijiuliza ukimya wa chenge kuthibitisha kutaka kugombea uenyekiti wa bunge kama...
Hili limesemwa na wengine na limesemwa vizuri na Prof. Shivji kwamba Bunge la Katiba lina madaraka ya kuweza kufutilia mbali rasimu ya Katiba ya Tume ya Warioba ambayo kimsingi ni mahali pa...
WanaJF,
Kamati iliyoundwa kushughurikia kanuni za bunge maalumu la katiba, pamoja na mambo mengine, leo imependekeza SIWA MPYA kutengenezwa mahususi kwa ajili ya bunge hili la katiba.
Ndugu...
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema msimamo wake ni kuwapo kwa Serikali mbili, huku akisisitiza kuwa ilipaswa wajumbe wa bunge hilo wapewe elimu ya ufahamu ya kazi yao...
Kuna mashauri yaliyofikishwa mbele ya mahakama
na kufikiwa mamuzi(hukumu) kwa mfano wezi wa mabilioni ya feha za (EPA) mahakama iliwatia hatiani na kuhukumiwa kifungo leo tunaashuhudia mhe...
Pamoja na nia Nzuri ya Raisi kukubali kuanzishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya bado kuna wingu zito la upatikanaji wa katiba hiyo kabla ya mwaka 2015. Swala linaloonekana kuwasumbua sana CCM ni Kuwa...
Zanzibar. Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia Chama cha Allience for Tanzania Farmers Party (AFP), Rashid Yussuf Mchenga amevuliwa uanachama kwa madai ya kughushi saini ya Naibu Katibu Mkuu wa chama...
Uzoefu wetu wa muda mrefu umetuonyesha pasipo shaka kwamba mambo mengi yanayotendeka Tanzania hayawezi kutendeka katika nchi nyingine.
Tanzania imekuwa taifa la...
Posho Bunge Maalumu la Katiba kuwa 500,000 kwa siku.
Habari zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Leo kwamba Kamati ya kufuatilia posho za wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imependekeza kwa...
Huu ndio ujumbe wa siri ulionaswa ukisambazwa kwa baadhi ya wajumbe wa tume ya katiba: "Bila laki 5 hakuna ku-support hoja ya serikali mbili. Tuunge mkono hoja ya serikali tatu!"
Salaam wana jamvi,
Nikiwa miongoni mwa watz wanaohitaji katiba mpya na walioshiriki kutoa maoni ya mapendekezo ya rasimu ya katiba,ni meona ni vizuri niwakumbushe machache wajumbe wa bunge la...
Wizara ya Fedha imepigilia msumari maombi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ya kutaka waongezewe posho na kusema anayeona ameacha kazi inayomlipa zaidi kwenda bungeni afungashe virago na...
MUHUNGANO SIYO UTENGANO
Siyo siri pamoja na kuwapo kwa tafsiri na aina tofati ya miungano duniani kote miungano yote yenye mafanikio ni ile iliyoweza kuzaliwa na kukua kupitia tafsiri na...
Wana janvi kinacho endelea Dodoma kuusiana na bunge la katiba, kinaanza kutia shaka na sintofahamu, ndani ya vichwa vya baadhi ya watanzania mimi nikiwemo, kuna kila dalili kanakwamba serikali...
Salaam wana jamvi,
Kumekuwa na tetesi kuwa waziri wa Afrika Mashariki na spika wa zamani wa bunge la katiba mh. Samwel Sitta ni miongoni mwa wanaotaka kugombea uwenyekiti wa kudumu pamoja na...
Ndugu wadau,
Kwa miaka mingi sasa sekta ya AZISE (NGOs) inazidi kukua. Lakini fursa za ufadhili kutoka nchi zilizoendelea zinazidi kupungua. Umaskini miongoni mwa wananchi bado ni mkubwa, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.