KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni...
13 Reactions
126 Replies
29K Views
Wakati sakata la Posho za Bunge la Katiba zikiwa kwenye sintofahamu baada ya Wajumbe kadhaa kuanza kudai Posho kuwa hii inayotolewa ya Laki 3 haitoshi eti Maisha ya Dodoma ni Magumu pia Kazi...
7 Reactions
93 Replies
10K Views
Sospiter Muhongo leo anaonekana kuwa ni mwenye akili nyingi,ameonekana kushangaa muda unaopotezwa pale. Hata mwakilishi wa baraza la wafanyakazi nimemwona ana akili,alisema kwanini kama kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Katika kikao kilichoendelea bungeni wakati mwenyekiti akiahirisha hadi ijumaa ndipo akasimama mbunge mmoja na kutamka kwa sauti kubwa "HATUJASAINII" ndipo mwenyekiti akamtoa wasi wasi kua karatasi...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kwa maoni yangu, miongoni mwa kasoro kubwa zilizomo katika rasimu ya pili ya katiba, ni kupuuzia kutaja 'usawa wa binadamu,' kama mojawapo ya tunu za taifa. Jambo la ajabu, ni kwamba watu wengi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa muda wa ‪Bunge La Katiba ‬ameunda kamati ndogo ya wajumbe 6 kuchunguza suala la malalamiko ya posho juu ya bunge hilo la katiba. Wajumbe wanaounda kamati ya kuchunguza...
1 Reactions
111 Replies
11K Views
Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Augustine Mrema amedai baadhi ya wajumbe wanataka kuligeuza bunge hilo ‘shamba la bibi' kwa kudai posho zaidi kwa kisingizio cha kupanda gharama za...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua uwepo na ushiriki wa hawa wasomi wetu wa vyuo vikuu ktk katiba mpya.Mbona wamekua kimya hivi? Enzi za kina Mtatiro jumuiya hii was very hot lakini siku hizi ni kama imefutwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mawaziri kuweni na huruma na madereva wenu why wapewe 45, 000 ili khali na wao wanakaa hotelm wanakula hotel? PAUL MAKONDA kama mawaziri wameshindwa kuwatetea madereva wao ebu ingilia kati
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Habari wandugu... Mim huwa nafikiri sana juu ya utetezi wa vifungu vya rasimu mpya na ukali wa jaji warioba. Hivi utetezi huu ni wa kizalendo au kuna kitu kimejificha ndani yake maana siasa ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Jina 1.(1) Kanuni hizi zitaitwa Kanuni za Bunge Maalum, Toleo la mwaka 2014. (2) Kanuni hizi zitaanza kutumika baada ya kupitishwa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana ndugu, Naomba wale wenye maarifa ya upande wa sheria au wajuvi au wabobezi wa Sheria watuambie ikiwa tutapaza sauti zetu na Mh Rais kwakuwa ni mtu msikivu na akaamua kwa dhati kabisa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi hawa wana- CCM ambao walikuwa hawana hata agenda ya katiba mpya na waliokuwa vinara wa kupinga wazo hili kweli wanastahili kugombea uenyekiti wa Bunge hili huku mtu kama Chenge anaetajwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi, Nimetafakari kwanini Uongozi wa Bunge umeamua kutokuonesha Bunge LIVE sijapata jibu. Katika sheria zetu, ni haki kwa kila mtanzania kupata taarifa, kama hii ya mchakato wa...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Kutokana mwanzo wenye mashaka wa upatikanaji wa katiba mpya huenda Rais Kikwete akakumbukwa kwa moja wapo kati ya kuwa mwanzilish wa kupata katiba hiyo au kuanzisha mtafaruku wa kitaifa.Hii ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekit Wa Chama Cha Nld Bwana Makaidi Aliwasilisha Majina Mawili Tu La Kwake Na Mkewe Akiomba Uteuz, Inavyoelekea Aliteuwa Kmyakmya Na Kuwazunguka Wanachama Wengine Sasa Wanachawa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndio ni kweli naunga mkono rasimu ya katiba iliyopendekezwana tume ya mabadiliko ya katiba iliyo chini ya zee wetu walioba kwa kupendekeza serikali tatu.Napenda kufanya uchambuzi wangu...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
- Ukweli ni kwamba Serikali inahitaji kujiangalia upya na haya mambo kwa sababu hayatokei kwa bahati mbaya, kwa nini wananchi wanalilia posho kubwa ni kwa sababu wameona pesa za umma zinatumika...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Taifa lipo kwenye mchakato wa katiba mpya, pls ebu tuwekane sawa. Inakuwaje wadau wanao shinikiza kudumisha muungano kwenye content za hoja zao wanapendekeza serikali 3 au 2..je huu ni muungano au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huko nyuma niliwahi kutoa maelezo kuwa kazi tuliyopewa ni ya watanzania na inahitaji muafaka wa kitaifa ili tupate Katiba itakayokidhi mahitaji na matarajio ya watanzania,Katiba bora itakayojali...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Back
Top Bottom