Ni siku ya jumatatu siku ambayo tulitarajia kuanza rasmi kujadili kanuni za bunge maalumu lakini zoezi hilo halitafanyika badala yake tunaendelea kujisomea kanuni kwa siku ya leo hata kesho...
Kikao cha siku 2 cha NEC ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kimemalizika na kutoa taarifa kupitia katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho,bwana Nape Nnauye kuwa wamekubaliana kuendelea na msimamo wa...
Nimekuwa kimya nikisikiliza kila wadau wanapotoa na kujenga hoja zao za ama serikali mbili au serikali tatu; binafsi nakosa mantiki ya nini hasa wanachokitaka kutokana na hizo serikali; ila kama...
Posho ni upotoshaji wa Malengo Muhimu katika Rasimu.
Mosi Muhimu katika Rasimuniwapongeze wale waote waliobahatika kuteuliwa kuwa wajumbe wa bunge la katiba na mungu awaongoze katika kila...
KWA UFUPI
==========
Hii ni mara ya kwanza kwa Sitta ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa kuweka wazi uamuzi wake huo. Mwingine anayetajwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani na Mbunge wa...
Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.
Ni...
Baraza la Vijana wa CHADEMA limejipanga kutumia wabunge wa CHADEMA, Vyama vingine vya upinzania, wajumbe wasio na vyama na wale wote wenye mapenzi mema na taifa ili kuhakikisha Ibara ya 44 ya...
nilikuwa na jiuliza kwa lipi kumekuwa na mgogoro wa kung'ang'ania muungano na zanzibar bila ya kupata majibu.
Kwa mara ya kwanza nimefunuliwa macho na mzee mwenye umri wa miaka 102 wa zanzibar ...
Ndg wanaJF. Naomba mnijuze muundo was serikali mbili zilizoboreshwa ambazo serikali yetu inazipigia chapuo. Nimefuatilia mapendekezo hayo ila sijawahi kuona popote namna muudno huo utakavyokuwa...
"Katiba mpya itaje wazi Ofisi ya Rais wa Serikali ya Muungano na Ikulu ni Dodoma, na Ikulu Serikali ya Tanganyika itakuwa Dar Es Salaam"
Rasimu ya pili ya Katiba Mpya inapendekeza kuwapo kwa...
Umofia kwenu wanajamvi.
Natumaini wote mmesikia nguli wawili wa siasa za Afrika Dr. Robert Gabriel Mugabe na General Yoweri Kaguta Museveni wakiilaani vikali dunia ya magharibi kwa kutaka...
Wakati Bunge Maalum la Katiba likikutana kwa takribani nusu saa tu jana huku wajumbe wakiendelea kulipwa mamilioni ya fedha za kodi za wananchi, baadhi ya wajumbe wa wamelalamika na kupinga...
Hakika bunge hili maalum ni la waunguja na wapemba. Sisi watanganyika ndo tunaongoza Tanzania ndani ya serikali mbili, Kule umoja wa mataifa haikuna bendera ya ZANZIBAR hivyo basi serikali yenu ya...
Inasikitisha viongozi wakuu wa CCM kushindwa kutoa tamko kali juu ya madai ya nyongeza ya posho. Huu ni muendelezo wa viongozi na wanachama kutokuwa wazalendo hizo kutaka kujinufaisha wao binafsi...
Kuna maaskofu wanadai walipeleka majina ya wajumbe wa katiba kwa raisi ili wateuliwe.Swali ni je kikao cha kuteua majina hayo kilifanyika wapi na lini? Waliokaa kupendekeza majina hayo ni akina...
Nakua kama naota vile, sijui ni kweli au naota mchana jamani, eti Pandu Kificho mwenyekiti wa muda wa bunge maalum ameinda kamati ya kuchunguza kama malipo ya laki tatu 300,000 wanazolipwa wajumbe...
Wakuu,
Katika kupata ufafanuzi na tafsiri sahihi juu ya mipaka na mamlaka ya bunge maalumu dhidi ya iliyokuwa tume ya katiba katika uandaaji wa rasimu ya katiba,bila shaka tunahitaji msaada ya...
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba,litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si...
Tumieni wingi wenu Bunge la Katiba kadiri mnavyoweza. Chagueni Mwenyekiti mumtakaye. Mwisho wa sarakasi zenu upo. Tutawaadabisha katika KURA za kuidhinisha KATIBA na kura za 2015 kwa Katiba yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.