"Chama cha siasa huanzishwa kuwaleta pamoja watu wenye mawazo na sera zenye kufanana. Lengo kuu ni kuleta ustawi wa watu. CCM haikuahidi mchakato wa Katiba kwenye ilani, bali ustawi wa watu...
Ndugu Maaskofu wetu.
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya...
Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili.
Watu...
CHADEMA mnakosea sana. Mbona enzi za Mwendazake hamkudai Katiba kwa nguvu kama sasa hivi. Mnadhani Rais Samia ni dhaifu hivyo mna uhuru wa kumpelekesha kama mtakavyo?
Sisi wananchi tunajua kuwa...
Sioni haja ya Vyama pinzani hususani CHADEMA kulazimisha upatikanaji wa katiba mpya kwa kutumia vitisho na nguvu, eti iwe kwa Shari ama kwa shwari.
Kuna haja ya kujifunza kwa Vyama vya...
Nawakumbusha tu Chadema kwamba mnapodai Katiba mpya maana yake mnahitaji serikali tatu.
Vinginevyo mambo mengine yanaweza kuingizwa tu katika katiba hii ya sasa kwa kuifanyia ammendments.
CCM...
Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya.
CHADEMA wanaweza...
Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba.
Mimi ni mmoja...
Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi.
Je, Rais...
Mama samia akiamua mchakato wa katiba mpya kwa sasa itakuwa kafanya hisani tu na wala isisemwe ni takwa la wananchi.
Ilani ya chama cha mapinduzi hawakuahidi katiba mpya hivyo haipo katika mambo...
26 May 2021
Nairobi, Kenya
MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA
Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV...
Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa,rejeeni uzi wangu wa Trh 23/06/2021 unaotutaka Watazania wa rika zote kuungana ili kuweza kudai katiba mpya...thread ya leo ni mwendelezo tu
Ndugu zangu...
Huu ni wakati ambao katiba mpya haikwepeki.
Kutokana na mazingira ya hivi karibuni wahitimu ni wengi kuliko ajira tulizo nazo na CCM imeshindwa kuja na mbinu mbadala ya kukabiliana na wimbi...
CHADEMA wamejipambanua wazi wazi ya kuwa nini wanataka. Agenda yao ya uhuru, usawa na haki haipendezi sana miongoni mwa madhulumati na wanufaika wa hali iliyopo sasa.
Rais Samia kajipambanua kuwa...
Katiba ni takwa kwa watu wote
Bila kuwa na katiba hakuna tafsiri sahihi ya muongozo wa nchi. Ukitaka uweke utaratibu wa uwajibikaji lazima tuwe na katiba dhabiti inayobeba mwelekeo wa wananchi na...
Ni aibu kubwa kwa mawanasheria nguli tena Profesa kukomaa bila hata aibu eti hii katiba ni madhubuti kisa tu baada ya msiba wa Hayati JPM hakukutokea rabsha.
Hivi kama tungekuwa na katiba...
CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'.
CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana...
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya...
Warioba aiumbua CCM
Asema muswada uliopitishwa bungeni unalenga kuifuta tume yake
na Irene Mark
Tanzania Daima
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba...