Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na:
1. uelewa usio sahihi, au
2. maslahi kwenye katiba iliyopo.
Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako...
Mambo mengine yanashangaza sana; leo kila mmoja wa watu mashuhuri anatafuta gia ya "kutokea"; mwisho Rais na wajumbe wa Kamati Kuu nao watakuja na kusema "wanataka Katiba Mpya". Nimekaa naangalia...
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba (...
Hili ni swali ambalo jibu lake liko wazi; kuwa Rais Kikwete hakuwa na madaraka hayo. Hata hivyo, wapo wanaoamini kuwa kwa vile Rais kaamua kufanya kitu basi kitu hicho ni halali.
Mimi na baadhi...
Baadhi yetu tulikataa na tunaendelea kukataa kutambua mchakato huu wa Katiba Mpya. Tulianisha sababu za kufanya hivyo mapema kabisa Mwenyekiti wa CCM alipotangaza kuanzisha mchakato huu; na...
Watanzania wameweza kusubiri kwa karibu miaka ishirini sasa kuweza kuanza mchakato wa kuandika Katiba Mpya. Bahati mbaya subira hii ya Watanzania inataka kuchukuliwa kama papara au haraka ya...
Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day
01/07/2021.
Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa
Watoa Mada wakuu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Uchaguzi umekwisha. Na muda wa kulalamikia watawala unaanza tena. Cha kushangaza wapo watu ambao hawaoni uhusiano wa uchaguzi wao na matokeo ya uchaguzi huo. Watanzania...
Kumekuwepo na ushinikizwaji wa kupatikana kwa Katiba mpya ambao umekuwa ukiendelea kufanywa na kundi kubwa la wanaharakati wakiongozwa na chama la wana CHADEMA huku chama cha mapinduzi (viongozi...
Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions).
1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya...
Wanabodi,
Watch Live on TBC-
Spika wa Bunge, Mhe. Anna Makinda, ameliahirisha Bunge asubuhi hii, baada ya kipindi cha maswali na majibu ili kupata fursa ya kushiriki Public Hearing.
Pia Mhe...
Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa?
Kwanini wanaCCM...
Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi.
Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie...
Moja kwa moja kwenye hoja kuu iliyobebwa na kichwa cha habari...!
Wahenga wanamkumbuka aliyeanzisha/kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM). Ishara za wazi zinaonesha yeye ndiye atakaesimamia...
Kama ni kipyenga tayari kimekwisha pigwa. Mtizamo wa serikali unajulikana kama ulivyo kwa sasa wa CHADEMA.
Hadi sasa haipo tarehe wala uelekeo wa lini Rais anaweza kukutana na Chadema kama chama...
Baada ya kumsikiliza Mh Msigwa kwenye kongamano lililofana la Katiba mpya , nimetambua kisa cha uongozi wa ccm wa awamu ya 5 kutumia mabilioni ya pesa za umma kununua wapinzani .
Hakika Chadema...
Tuache kutoa Vijisababu visivyo na Tija kwa Taifa kwenye Mambo ya Msingi kwa TAIFA.
Suala la KATIBA MPYA ni Suala la Wananchi bila kujali ITIKADI yao KATIBA ni MALI ya WANANCHI na Sio CHAMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.