Habari Jf
kumekuwa na movement nyingi za kudai katiba mpya Tanzania mitandaoni.
Naskitika kugundua kuwa watu wamekosa vitu vya kudai kabisa hadi wanaanza kulilia katiba mpya.
Pengine mimi...
Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma...
Kwa mda mrefu mjadala wa katiba mpya umekuwa ukitumia pesa nyingi lakini masilahi ya vyama badala ya utaifa kwanza umekuwa kikwazo kupata katiba mpya.
Yupo mzalendo Warioba ambaye akiongezewa...
Kisa kizima kinapatikana hapa 1 Wafalme 13:1-34
Kwa ufupi sana, Mfalme Yeroboamu alimtenda MUNGU dhambi, na dhambi hii ilipozidi kuwa kubwa MUNGU akamwinua Nabii MWINGINE ambaye alikwenda hadi...
WanaJF,
Uzi nauandika nikiwa na hofu ya misleading kubwa ktk suala hili la Katiba Mpya, ni kweli Katiba Mpya ni muhimu sana kwa kuwa ya sasa ina matundu makubwa sana lakini nachosikitika...
Ukweli siku alipokufa nilifurahi, sikufurahia kifo chake, bali nilifurahi kwa sababu ameondoka kwenye kiti cha taifa. Nilifurahi kapisha kiti hicho kwa sababu Mimi nilimuona hakufaa kukalia kiti...
Chama kinachojibainisha kama kikuu cha upinzani kimekuwa kinalizungumzia suala la katiba kama vile bado halijashughulikiwa. CHADEMA wamekuwa wanataka wapate aina fulani ya Katiba ambayo...
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"
"Haki na uhuru ni misingi imara ya...
Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo...
Wana JF,
Nimeonelea nilete mada hii ili kuonyesha namna kiongozi wetu Mkuu wa nchi Rais Jakaya Kiwete alivyo mnafiki,mwongo,kigeugeu na ndumila kuwili.Hoja yangu itazungumzia maeneo muhimu matatu...
SIKU mbili baada ya Ikulu kutoa taarifa ya kejeli dhidi ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, wanasiasa, wasomi, viongozi wa dini na wanaharakati wameitaka Ikulu ya...
Chonde chonde Mama Samiaa Suluu Hassan,kama hitaji la watanzania kuwa na katiba mpya hutaliona kwa sasa muda si mrefu tutaacha kukuunga mkono,hata ndani ya chama
Utawala uliobora ni ule utawala wa makubaliano baina ya mwanaichi na mamlaka
Suala la katiba mpya nalifananisha na ujio wa chupi za watoto maarufu pampas!
Zilipo ingia kwa Mara ya kwanza...
Dada yangu Rais Samia Suluhu Hassan alisema "Rais huwa hakosei". Kwa usemi huo tu tayari alikuwa kakosea maana hakuna mtu asiyekosea, hayupo na hatakuwepo!
Ndio maana hata kwenye uteuzi wake...
Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama!
Na...
Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia...
Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba.
Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo.
Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele...
She took the office in top tore
Mourning the untimely departure
Of her friend and predecessor
But remained calm, strong and firm
Hit the ground running
Right from the word go
She showed...
Ivi hapa mama Samia kapotea.
Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?
Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.