KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

"Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husikeni na kichwa cha habar ndugu wasomaji. Umewadia muda ambao Taifa la Tanzania linahitaji Katiba mpya na hapa ndipo ambapo kila mmoja anapaswa kuonyesha uzalendo wa kweli. KWANINI TAIFA LA...
2 Reactions
6 Replies
943 Views
Vuguvugu Katiba Mpya latikisa mtandao wa Twitter TUESDAY JUNE 22 2021 Summary Watu wa kada mbalimbali nchini Tanzania ni kama wameanzisha vuguvugu la kudai Katiba Mpya kwenye mtandao wa kijamii...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali. Nimejiuliza...
2 Reactions
1 Replies
716 Views
Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki...
18 Reactions
75 Replies
5K Views
Nasikitika sana, na ninakishangaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kujiona kuwa kina hati miliki ya nchi na wananchi. Eti CCM kinasema hakina mpango na Katiba mpya. Ambayo hata walio asisi hii nchi...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nadhani katiba ya Mgeleza Malikia Eliza kwa miaka takribani sabini sasa inatosha, ipo haja ya kuwa na katiba ya watanzania na si ya Mgeleza wala wanasiasa. Pia swala la muungano litazamwe upya kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite..... Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Kwa machozi na damu nchi yetu inahitaji muelekeo mpya. Mwelekeo wa kuwaandaa watu wetu na mabadiriko ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Katika ndiyo mwarobaini. Katiba itakayomtambua na...
6 Reactions
14 Replies
779 Views
Katiba ya sasa ya Kenya ilipunguza kwa kiwango kikubwa sana vyeo vya kugawa kama Karanga. Katiba ya Kenya bado naamini ni moja ya katiba bora Africa na ni nchi chache Africa zina katiba ya aina...
3 Reactions
5 Replies
926 Views
Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na...
4 Reactions
11 Replies
622 Views
La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza...
11 Reactions
76 Replies
6K Views
UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Zilitumia billion 200 kukusanya maoni ya wananchi na Jaji Warioba. Maoni yakawekwa kapuni Kuna watu wanasema katiba sio kipaumbele yaani Leo ndio mnaona katiba sio kipaumbele wapuzii nyie...
2 Reactions
5 Replies
771 Views
Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya...
4 Reactions
13 Replies
857 Views
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Back
Top Bottom