KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo. Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza; Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake...
0 Reactions
11 Replies
836 Views
Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo...
35 Reactions
116 Replies
7K Views
Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
HOJA ya Katiba mpya imeanza tena kuibuka kwa kasi kidogo, kwa maelezo kwamba hiki ni kipaumbele cha taifa kwa sasa. Kwamba baadhi yetu wanaamini kwamba bila Katiba mpya hatuwezi kupiga hatua za...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu...
3 Reactions
9 Replies
933 Views
Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa...
4 Reactions
4 Replies
993 Views
UMUHIMU NA ULAZIMA WA KUWA NA TUME HURU ZA UCHAGUZI, MAPITIO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA YA JMT; UCHAMBUZI (CASE STUDY) KWA MUKHTASARI; IDARA imekusanya taarifa za kutosha na kufanya...
2 Reactions
6 Replies
855 Views
Hakika inashangaza sana kwa viongozi wetu wa dini kukaa kimya juu ya suala la katiba mpya. Viongozi wa dini wameshuhudia matumizi mabaya ya katiba iliyopo yalivyofanywa na mwendazake. Watu wengi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nitaendelea kusimamia utawala bora nchini kwalengo la kufufua maendeleo ya Zanzibar yatakayowainua wananchi kiuchumi - Othman Masoud Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ambaye pia...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Brazilian President Jair Bolsonaro was fined $100 Jana Jumamosi for violating Covid-19 containment measures in Sao Paulo state by failing to wear a face mask and provoking huge crowds at a...
2 Reactions
1 Replies
658 Views
Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi. Ni wazo zuri na la...
1 Reactions
0 Replies
713 Views
Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake. Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea. Anakaa madarakani mpaka...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari Tanzania! Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote. Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa. Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Wasalamu, Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao? Ukweli Kwa mama yetu...
0 Reactions
6 Replies
866 Views
1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio...
38 Reactions
85 Replies
14K Views
Back
Top Bottom