Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4...
Add bookmark
#1
Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake.
84(7)
" (d) if that person is removed...
Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake.
84(7)
" (d) if that person is removed from the
office of...
The new queen bee 🐝 in the apiary…
She is soft…she is amenable…she is not hardheaded…she is a mother…she doesn’t yell, scream, or scold anybody…she is this, that, and the third!
Sasa endeleeni...
Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi,
Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu.
Nimeonelea leo niongee nanyi ili...
Muda ni sasa, kesho ipo karibu sana na tutashtukia tayari 2025 hiyo. Hatuna Tume Huru wala Katiba mpya.
Kama tuna pesa za Mwenge wa Uhuru tunakosa vipi pesa ya kumalizia Katiba ambayo ipo tayari...
Wachoraji wa katuni duniani kote hutumia Lugha ya uficho Sana kuelezea mawazo yao.
Hii katuni ambayo ni ya kisiasa kwa kuwa kuna mchoro wa Katiba ndani yake. Sijaielewa kabisa!!
Kwenu Watanzania wenzangu wa vyama vyote nchini,
Tunayo mengi ya kufanya lakini swala ajira linahitaji kujadiliwa kwa mapana na marefu na Watanzania wote, tusiwaachie wabunge peke yao wanao pokea...
Hakika inashangaza na kustajabisha kwanini spika aliyeapa kuulinda na kuitumikia katiba ya nchi leo ndio anakuwa kiongozi tena wa mhimili anaivunja Katiba kwa makusudi na kuteteta uvunjaji wake wa...
Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.
Kwa mujibu wa katiba ya...
Turejee kwenye chaguzi zetu. Usihangaike na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, huo hauwahusu Tume ya Uchaguzi.
Twende kwenye Uchaguzi Mkuu. Anzia kwenye uchukuaji na urudishaji wa fomu. Fikiria...
Source:Habari Leo, Nipashe na Mtanzania. Pia amesema Baada ya Rasmu ya Pili Kukabidhiwa Ikulu na Jaji Waryoba, Kazi ya Kujadiliwa na Bunge Maalumu Itakakamilika Mwezi wa tano na Kabla ya Mwezi wa...
Katika Sehemu ya hutuba ya Rais Kikwete akizungumza Dar anasema hati ya Muungano ipo,ni sahihi,Nyerere alipostaafu alimwachia Mwinyi, Mwinyi akampa Mkapa, mkapa akampa Kikwenye ambayo bado...
Historia ya Katiba
Kwa mujibu wa wataalamu wa sheria kutoka chuo cha sheria cha(Law School of) Tanzania, katiba inahitaji kupitiwa mara kwa mara kuhakikisha kua inaakisi era za kidiplomasia pamoja...
Nina maswali machache sana.
Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia...
Katiba mbovu imesababisha ubovu wa mifumo ya nchi angalia Ndungai anavyo leta aibu bungeni.
Analia Nguvu aliyonayo Rais wa Tanzania na akifanya liwe baya liwe zuri hakuna wa kuhoji chochote...
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji...
Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka...
Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka.
Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana.
Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila...
Wakati Lazaro Nyalandu anahama chama chake cha CCM kwenda CHADEMA alijdhihirisha kama mmoja wa watu wenye uelewa mkubwa na mpana wa namna mihimili ya serikali yetu inavyoingiliana na kutatiza nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.