KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Habari, Nimekuwa nikitoa tahadhari ya kuja kuwa na mtafaruku ndani ya nchi na ikiwezekana vita vya ndani. Kwa sasa kumetamalaki kwa uvunjivu wa katiba yet hasahasa kwa viongozi wetu wa juu pamoja...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja. Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Pamoja na CCM kuwa Madarakani zaidi ya Miaka 60 bado Chama hicho hakijiamini kwenye Suala la UCHAGUZI HURU na HAKI.CCM imekuwa inatumia Vyombo vya DOLA Kushinda UCHAGUZI kama tulivyojionea...
3 Reactions
14 Replies
750 Views
Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana. Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda. Pengine...
12 Reactions
65 Replies
7K Views
Waziri mkuu Thailand Prayut Chan-o-Cha ametozwa faini ya $190 kwa kosa la kutovaa Barakoa baada kuwepo kwa tahadhali zaidi nchini humo.Prayut aliweka picha katika ukurasa wake wa facebook...
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Unajua Sita alikuwa hana hela akaenda kukopa kwa watu wawili ,akihitajia shilingi mia tu ,hivyo akakopa kwa kila mmoja shilingi 50 .akatimiza mia. Akaelekea dukani ,akanunua begi la shilingi mia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nchi yetu ilipopata uhuru mwaka 1961 ilikuwa ni nchi ya vyama vingi mpaka mwaka 1965 Nyerere alipoamua kuifanya nchi ya chama kimoja kwa takribani miongo mitatu. Hatimaye vyama vingi vilirejeshwa...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola. Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua...
8 Reactions
123 Replies
6K Views
Niwieni Radhi, mada ni: Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini. Nawasilisha. Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani. Chadema nao wakafanya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani nashangaa hadi muda huu mama yetu samia suluhu hassan ameshindwa kutoa kauli yoyote kuhusu hawa wabunge 19 wasio na chama, Licha ya kwamba uongozi wa chadema umeshaweka bayana kuwa...
3 Reactions
4 Replies
999 Views
Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi. Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
Matamanio ya wengi, hasa upande wa Upinzani Kupitia Chama cha Chadema kupitia mgogoro mkubwa wa wabunge wake waliofukuzwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa wanachama wa Chama hicho na moja Kwa moja...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Katiba ndio muongozo na uhai wa taifa lolote duniani. Inapotokea Katiba haisemi au kuzungumzia jambo kinagauba au kuonesha upungufu wa aina yoyote ni ishara kuwa ni utatanishi hivyo kuhitajika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini. Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone...
4 Reactions
4 Replies
870 Views
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom