Ndugu zangu bado tupo katika majonzi makubwa kama taifa ya kumpoteza kiongozi mkuu.
Yote juu ya yote Mungu atatusimamia nalo litapita.
Nachotaka kusema hapa ni huu utaratibu wa katiba kumtambua...
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT...
Nafahamu katiba inasema wazi mtu atakayeshika nafasi ya urais wa JMT anapaswa kuwa na miaka 40 na kuendela ila sifahamu katiba inatoa maelekezo gani kuhusu umri wa makamu wa Rais. Aliye na ujuzi...
Hivi punde akipiga kura baada ya kuja bungeni,amepiga kura ya Hapana kwa sura kadhaa na ibara kadhaa.
Baada ya kupiga kura ya Hapana,kuna mjumbe amesimama na kuomba muongozo ambapo amemshambulia...
Moja ya hotuba ya baba wa Taifa,ambayo sehemu yake hurushwa kila siku na ITV mara baada ya taarifa ya habari kama wosia wa baba wa taifa,inasema na hapa nanukuu "mtu anaeona haya kuitetea katiba...
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama...
Asilimia kubwa ya Watawala wetu hawa amini Mawazo ya wadau bali mawazo na Ushauri wa waganga wa Kienyeji!!
Ukweli ni kwamba hapa tulipofikia hata mtu wa Kawaida anaweza kusitisha Bunge la Kabina...
RAIS Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika hatua ambayo imewashutukiza wajumbe wa Tume hiyo, imefahamika.
Taarifa ya kuvunjwa kwa Tume hiyo, maarufu sasa kama Tume ya...
Wana bodi salaam,
Katiba yetu sio Msahafu/Biblia, nikiwa na maana muda wowote inaweza fanyiwa marekebisho pale inapohitajika kwa maslahi ya taifa yenye tija. Hili tumekuwa tukiliona likitokea...
Bado tuna safari ndefu kwa nguvu ya mihimili kwa Tanzania bora tunayoitaka.
Ukifatilia uteuzi wa wakuu mihimili na uwezezeshaji kifedha inategemea hisani na maamuzi ya Rais aliyepo.
Sote...
Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu .
Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya...
Katiba mpya ndo suluhisho Pekee lililobaki kwa Upinzani kuinuka na kuwa Imara zaidi.Lakini bila kudai katiba mpya nchi itazidi kuwa ya Kijani Mpaka Yesu anarudi.
Upinzani waunganishe nguvu zao...
Tumekuwa tukisoma na kusikia vyombo vya habari, vyama vya siasa na taasisi za kijamii wakitumia hili neno KATIBA YA WANANCHI hadi kufikia kundi moja la wajumbe wa bunge maalum la katiba kuunga...
NANI ALIFANYA KAZI YA KUHARIRI KATIBA YETU?
Nazungumzia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ukisoma ibara ya 46A kifungu cha 2(c), kuna mhali pameandikwa "ndani ya MLEZI kumi..." badala...
Zaidi ya 90% ya Watanzania ni Watu wa Kipato cha kati na Chini, ambao tunahitaji mambo yafuatayo,
1.Umeme na Maji Safi kwa Gharama nafuu
2. Elimu bora na kwa Gharama nafuu
3.Masoko ya Mazao...
SEHEMU YA KWANZA
Hatimaye kiini macho cha muungano kinakaribia kukiumbua chama chetu kikongwe cha CCM. Kwa miaka 50 sasa, ccm iliwafanyia wananchi mchezo wa mazingaombwe and managed to get away...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.