Muakilishi wa Taasisi na Jumuia za Kiislamu amewataka Waislamu wote Nchini kupiga kura ya HAPANA katika kura ya Maoni ya kuidhinisha katiba Iliopendekezwa na CCM. Kiongozi huyo, ameyasema hayo...
POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI
Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka...
Hussein Mwinyi, raia mwenye bahati ya kupata kuwa mbunge kupitia majimbo ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Pemba, alisema Bungeni kuwa kuondolewa kwa kero za Muungano ni kwa...
Habari na poleni na majukumu,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kua hatuwezi kurudia makosa ya Mwalimu Nyerere ya kuminya haki ya Watanzania wengi na kufanya maamuzi yake ambayo yanataka...
Shekhe Hamid Jongo ambaye ni Mjumbe wa Baraza la Maulamaa na Imamu wa Msikiti wa Manyema, Kariakoo Dar es Salaam, amewageukia wanaokataa kura ya wazi akisema ni wanafiki na waoga, huku akiwatupia...
Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo...
Sitaki kumumunya maneno naweka wazi kabisa hawa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kihoro.
Hii ni kwa sababu 96% hawatarudi bungeni.
Walitaka kutuaminisha kuwa hali ni mbaya sana ya maabukizi ya...
Naomba kufahamu muundo wa muungano wetu na mambo yapi ni ya muungano na yapi si ya muungano kwa sababu naona wakt mwngne zanzibar wanatoa updates za wagonjwa wa corona wkt hku bara tupo kimya wkt...
Kwa jinsi rasimu ilivyo nahisi JMT inatakiwa kuwa Taifa lakini tusaidiane maana rasimu inasema ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili, Jamhuri ya...
Madaraka ya rais wa jamhuri ya muungano(ibara ya 85 :1-6) kutangaza hali ya hatari ni moja ya safari ya mafahari wa Tanganyika na Zanzibar watakapomgomea rais wa jamhuri ya muungano kwa maana...
Ndugu wanajamvi,
Katika hotuba yake ndani ya Bunge la Katiba mjini Dodoma hivi karibuni, Rais Kikwete, pamoja na mengineyo, alinukuliwa akisema kwamba muungano wa serikali tatu uliopendekezwa...
Ulipoharibiwa mchakato wa katiba mpya na kikwete, niliandika yafuatayo:
Kheri tungekuwa na kundi moja la bunge maalum la katiba. Kheri tungekuwa na Tanzania kwanza, makundi ya CCM na UKAWA...
Wadau,
Nimepitia uzi wenye jina "Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania" na kupenda mjadala ule ambao mpaka sasa umeshirikisha watu 9000. Pia nimepitia mabandiko mengine yenye kujadili mada hii...
Ndugu wanabodi nimetafakari jinsi tulivyouziwa mbuzi kwenye gunia tukampata kiongozi wa sasa ambaye mambo mengi anayofanya si tu yanakiuka manifesto ya chama chake lakini pia wananchi hatukupata...
Zipo siri nyingi zimefichika katika nchi hii na hakuna anayethubutu kuzisema hadharani kwa kujiamini pengine kwa sababu hazikidhi vigezo vya kisayansi lakini zinaathiri sana baadhi ya maamuzi ya...
I hope I am wrong lakini naona kuna possibility kubwa sana ya Bunge hili la katiba kusambaratika kabla ya kumaliza kazi. Unaweza kuliona hili kwa kuipitia kwa makini misimamo ya makundi katika...
Imenishangaza mpaka sasa hasa wapinzani hawajadai tume huru ya uchaguzi. Hii haitakuwa nzuri kwa taifa tujiandae muhula wa pili kuwa mgumu kwa Magu. Kwanza kwasababu ya kutokuwa na tume huru...
Tanzania nchini ya mfumo wa vyama vingi tunahitaji tuwe na mahakama ya katiba itakayosimamia utekelezaji wa katiba nchini.
Siku hizi ni kawaida sana kila viongozi kujiamulia jambo lolote...
Ibara ya 81.-(1): Endapo mtu yeyote aliyeshiriki kama mgombea katika nafasi ya Madaraka ya Rais katika Uchaguzi wa Rais hakuridhika na matokeo ya uchaguzi huo, anaweza kuwasilisha malalamiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.