Uzi tayari binafsi sikuridhia kuna maeneo bado yanaukakasi asa madaraka na teuzi za Rais.
Maoni yangu yalipinduliwa na tume.
Rais asiwateue Makatibu Wakuu.
Rais asimteue mwanasheria mkuu wa...
Wana Jamii!
Haya ndiyo niliyozungumza na Waandishi wa Habari leo Hapa Dodoma. Vyombo vya habari (Magazeti, Redio na Televison), Salamu hizi za pongezi mnaweza kuzitumia vyovyote mtakavyo, kama...
Saalam jf!
Mods uacheni Uzi wangu tena msiunganishe na mwingine wowote please. WE DARE TO TALK OPENLY.
Toka mwanzo wa kuingia madarakani Rais magufuli amekuwa akitamka Mara nyingi kuwa,
1...
Habari wanaJF.
Mimi raia wa Tanzania,leo nimepitia jukwaa hili ili kutaka kujuzwa mawili matatu kuhusu jinsi na namna ya kuitumia katiba yetu pendwa.
Nimeomba kupewa maelezo ya jinsi ya kuitumia...
Mwadhama Kadinali, Polycarp Pengo amesema kwamba kauli iliyotolewa hivi karibuni na Askofu wa Jimbo la Rulenge mkoani Kagera, Severine Niwemugizi kwamba Katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi...
Baada ya kutoa salamu kwenu wanna jamii, naomba nielekee kwenye maudhui ya andiko langu la leo tarehe 21 Dec.
Kama mungu alivyotuleta duniani tunatekeleza mengi tuliyoelekezwa kwayo na mengi Sana...
Habarini WanaJF,
Nawaza tu kwa sauti kama sio kuota ndoto za mchana!!
Kulingana na hali halisi ya kisiasa hapa nchini ilivyo...demokrasia sasa ni msamiati pendwa kama sio adimu.
Sheria ya...
Leo Nitatumia maneno makali kidogo ili tuelewane kiurahisi. Wapinzani wa Nchi hii ni "BAPHOON". Maana ya BAPHOON ni Watu au Kundi la Watu linalotumika Kwa Maslahi ya Mataifa Mengine Kuangamiza...
Wakuu,
Haina shaka kwamba Hotuba ya Tundu Lissu imevuta hisia za washabiki wengi wa "Serikali 3/Nchi 3!" Pia nichukue nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa huyo kwa kuwasilisha maoni ya wachache na...
Mnapokuwa na kiongozi ambae anafikiri priorities zake ndio muhimu kuliko priorities za watu anawaongoza, basi jamii husika ijue imekula hasara kuwa na kiongozi wa aina hiyo.
Watu wengine hawafai...
Twende kwenye mada
Swali 1:Je, leo ukifukuzwa kazi, kusimamishwa au ukiacha kazi ghafla utakuwa katika hali gani?
Je, mshahara kama hutowekewa kwa sababu zozote zile aidha bahati mbaya au...
Mbunge wa Kilosa Mustafa Mkulo ameibuka na kudai mbele ya mwenyekiti Pandu Kificho kaibiwa laptop ; mpaka sasa hajaipata.
Mpaka tunaenda mitambano. Bado juhudi za kupata laptop yake zimegonga...
Natarajia kila mtu na kitu mko swali kabisa, licha ya hii mambo ya new pension law ambayo si kutugusa tu ila imetuumiza ajabu,Leo nataka niongee tu machache kuhusu umuhimu wa taifa kuwa na katiba...
Mwalimu Nyerere alikuwa ndio mwanaccm wa kwanza kutujuza "ukuu" wa katiba yetu na kwamba inaweza kuwa rafiki au kinyume chake kulingana na matakwa ya kiongozi aliyopo madarakani kwa wakati husika...
Nawauliza ccm kwann mnataka tuingie kwenye uchaguzi tukiwa na hii katiba mbovu kuliko kawaida?
Mfano tumeshuhudia ubabe wa matokeo ya wabunge Malaya kuchaguliwa chini ya mwamvuli wa dola hivyo...
Visingizio vyovyote vya kuikataa Katiba mpya kutoka kwa watawala , haviwezi kuwa na mashiko yoyote , wanaikumbatia iliyopo kwa vile inawapa uhuru wa kufanya wapendavyo.
Njia pekee ambayo ni...
Pamoja na Bunge LA katiba kama litapitisha katiba mpya bado Mh... wetu akaweka sahihi yake bado haitakuwa katiba halali HADI WATANZANIA WOTE TUIPIGIE KURA.
Ktk kura za wananchi zipo zitakazo sema...
Wapo watu hasa Wazee wa Taifa leetu ukiwahoji kuhusu katiba yetu utasikia Katiba yetu ni nzuri Sana, ningependa kujua uzuri wa hii katiba Ni madaraka iliyokabidhi kwa viongozi au ni madaraka...
Wanabodi,
Katika mambo aliyojadili jana Mh. Rais Magufuli ni kwamba, alikiri kuwa Wananchi wanahitaji Katiba mpya, akasema hilo kwasasa sio kipaumbele chake na hatotoa Fedha ili watu wakalale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.