Kama katiba itatokea kufanyiwa marekebisho, nashauri raisi aondolewe na kura na sio kwa ukomo wa mihulai. Hii itamuwezesha raisi aliyepo madarakani kukamilisha dhima yake au kama ameshindwa...
Najiuliza tu maana kila uchao wale makada waliokuwa wanaipigia debe rasimu ya Katiba mpya ya Jaji Warioba sasa wameanza kuipotezea. Kwa mbali nawaona hawa wazee watatu rip Sitta Chenge na Wassira...
Ktk katiba pendezwa spika na naibu wake wasitokane na wabunge wa kuteuliwa. Napendekeza watokane na Wabunge wa Majimbo au Wananchi waombe. Hili litaondowa dhana ya kulipa fadhila kama viongozi...
1 -Ujamaa na kujitegemea lazima ufutwe na kulaaniwa
2-kifungu kimkingacho raisi asishitakiwe kifutwe na raisi lazima ashitakiwe kama ana makosa
3-mahakama kuu na bunge lazima ziwe huru na ziwe na...
Kuna baadhi ya watu fulani wamekuwa na hasira kuhusu mamlaka ya Rais yaliyoanishwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ile Sura ya nane,Kuanzia Ibara ya 80 mpaka 98. Watu hao wamefikia hatua ya kutaka...
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..
Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa...
Marekani na wamarekani wamekuwa na katiba yao kwa zaidi ya miaka 300. Wengine wote hasa wanaharakati wa hapa Tanzania tumekuwa tukiwasifia wamarekani na katiba yao; mfumo wao; na demokrasia yao...
Zikifika bilioni ishirini za kuweza kufadhili mchakato wa katiba mpya, then ndipo tutakapoufikiria.
Tulisha tumia pesa nyingi kudai katiba katika mchakato ambao uliharibiwa na wana harakati...
Baada ya Lissu kukataa kupima mkojo na wakili Fatma Karume kumshitaki Polisi aliemzonga Mahakamani, nimegundua kuna umuhumi mkubwa wa wananchi kujua sheria za nchi zinasema nini na pia katiba ya...
“Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si kipaumbele cha Watanzania...
constitution without constitutionalism? The paths of constitutional development in China | International Journal of Constitutional Law | Oxford Academic
Nadhani hii article ni nzuri sana katika...
NI muhimu tukusanye sahihi za wananchi 10milioni ili tupeleke petition mahakamani kudai mchakato wa katiba kukamilishwa.
Wadau hili si la cdm wala ccm. Ni haki ya watanzania wote kwa ajili ya...
Katiba mpya sio takwa la chama cha CCM na viongozi wa serikali waliopo madarakani....
Ni takwa la wananchi ndio maana walijitoa kupendekeza kila hitaji la rasimu ya katiba lililosimamiwa na Mzee...
Sitasema mengi ila eleweni huu si wakati wa kuendelea kutoa matamko bali ni wakati wa kuchukua hatua na hatua mojawapo ni kudai kupatikana kwa katiba mpya.
Nawashauri mkutane na mpange siku ya...
Je, Katiba Mpya ni matakwa ya Serikali au ni matakwa ya wanachi? Nimemsikia kiongozi mmoja toka CCM anasema serikali ya Safari hi haioni umhuimu wa katiba mpya.
Je, katiba ipo kwa ajili ya...
Source: The East African,
Date: November 29-December 5, 2010,
Page: 46
Headline: {A new constitution would do wonders, govt advised}
Kenyas prime minister Raila Odinga was in Mwanza last week...
Hawa watoto wapo Pugu, baba yao ameondoka yapata mwezi na zaidi, hawajui alipo. kwa mujibu wa hawa watoto baba yao aliwaachia unga wa ugali na tsh 5000 tu. ni vigumu kusema amekimbia watoto kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.