KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Mimi nafikiri wakati umefika Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa awe anawajibika kwa bunge pia. Taasisi hii kuwajibika kwa raisi pekee si jambo jema kwa ustawi wa nchi hii. Taarifa...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au...
0 Reactions
191 Replies
20K Views
Suala la Katiba mpya haliepukiki nchini kwa mazingira ya sasa, na kujaribu kulizuia ni sawa na mtu kujaribu kutemea mate anga. Na kwa kufanya hivyo, hawezi kukwepa kujichafua uso wake mwenyewe. Au...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Rais wa nchi ndiye anaechagua mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi. - Ndani ya ccm Rais wa nchi ndiye mwenyekiti wa chama. Rais anapomaliza muhula wa kwanza wa uongozi wake anasifa ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Katiba mpya ni lazima katika taifaletu Tanzania maana itatupeleka katika njia sahihi ya maendeleo na ufanisi katika Uongozi.
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna...
23 Reactions
196 Replies
22K Views
Ngara. Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kakobe amlaumu Kikwete Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe, amemshambulia Rais Kikwete kwamba ndiye aliyevuruga mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna mtu...
2 Reactions
74 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kabla ya mahubiri ya Neno la Mungu katika Ibada Kuu ya leo Jumapili 7.9.2014, Mwenge, Dar-Es-Salaam; Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe, alianza...
18 Reactions
107 Replies
13K Views
Habari za muda huu ndugu wana JF, natumai mnaendelea vyema na siku kuu. Nije kwenye hoja hii yangu ya Leo Kwa hali ilivyo sasa inaonekana upinzani hawana hoja za msingi za kushindana na CCM. Mimi...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Ni jambo la kupongezwa kuona kuwa Sumatra wamefahamu ni kero kulaza watu majiani kwa sababu zisizo na msingi. Kung’ang’ania mipangilio kama ilivyokuwa miaka ya 1970 katika zama za leo ni kujiwekea...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu leo nimetazama makala ya Tunakumbushana kupitia www.bmghabari.com nikaona ni vyema kushare nanyi jambo hili muhimu na la kitaifa. Bonyeza BMG kutazama hiyo makala.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mpaka sasa ni dhahiri kuwa katiba mpya inayotakiwa kulinda rasilimali za nchi haizuiliki na wala halipaswi kuwa ombi tena, mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi ijadiliwe bungeni tena 'live'...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumbe nia ya kutumia nguvu kubwa katika kuuwa upinzani ni ili wapate wabunge wengi bungeni na wapate nafasi ya kupata kula ya ushindi pale watakapopigia kumwongezea rais muda wa kukaa madarakani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya. NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI...
1 Reactions
98 Replies
7K Views
Ndugu wanabodi, Assalaam alaykum. Siku nyingi sijaandika hapa na hata kusoma, nimekuwa bize sana na majukum mbalimbali ya kusongesha mbele maisha. Leo nimeamka nikajifikiria niwataarifu...
9 Reactions
99 Replies
8K Views
Yanayoendelea kenya ni kielelezo tosha kua katiba yoyote hutungwa katika mazingira ambapo mwenye ushawishi mkubwa kwa raia ndiye anaeihodhi. Ndio maana pamoja na kenya kua na katiba mpya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF, Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini...
2 Reactions
116 Replies
18K Views
Back
Top Bottom