Ndugu zangu, hizi kelele zisizokoma kila siku za kwamba, tume ya taifa ya uchaguzi haiko huru, katiba tuliyo nayo ni mbovu na kwamba imepitwa na wakati, ni madai ya msingi kabisa.
Tumeona...
Ibara ya 129 -(1): Wananchi watakuwa na haki ya kumuondoa Mbunge wao madarakani, endapo Mbunge atafanya moja wapo au zaidi ya mambo yafuatayo:
(a) Ataunga mkono sera ambazo zinaenda kinyume na...
Wasalaam, tarehe 9/12 tumesherehekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika ni miaka 58 tangu tupate Uhuru kutoka kwa Wazungu.
Hapa nchi yetu ilikuwa ni ya chama kimoja na uchaguzi ulikuepo ila ni wa chama...
Ibara ya 31 -(1) Kila mtu ana haki na uhuru wa kutafuta, kupata, kutumia na kusambaza habari na taarifa na kuanzisha vyombo vya habari na njia nyingine za upashanaji wa habari bila kujali mipaka...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha...
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
47(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na hususan-...
Hizi kelele zote za Katiba mpya na waliofanikiwa kuitengeneza tena kwa damu (2007/08) haikuwa na lengo la kumsaidia mwananchi ingawaje wananchi walidanganywa hivyo.
Lengo lake lilikuwa ni power...
Endapo Baraza la Mawaziri litaona; kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya maradhi ya mwili au ya akili, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji...
UCHAGUZI mkuu uliomalizika mwishoni mwa mwezi wa kumi ulikuwa wa upande mmoja, badala ya ushindani kama ilivyodhaniwa, watawala walitumia mamlaka zake kuibeba CCM ishinde Hili ni tamko la Chama...
KATIBA YA KUDUMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977
Katiba hii iliitwa Katiba ya Kudumu na ilikuwa ni Katiba ya tatu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katiba hii ilipatikana...
Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba...
Kwa hizi drama zinazoendelea hapa nchini ni vema kwa serikali yetu huru na yenye kujiamulia mambo yake yenyewe pasipo kuingiliwa na mtu wala nchi yoyote kufanya mabadiliko ya katiba na kupitisha...
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam Dkt James Jasse amemshauri Rais wa jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli kutumia njia ya kuunda kamati ya wataalamu ambayo...
Nawasalimu ndugu zangu,kulalamika sio tija na hakuna manufaa kwa kulalamika.Tujadili kea mapana yake kitu gani kifanyike tumshawishi Rais yetu atupatie Katiba mpya maana ni kiu ya watu wengi nchi.
Mimi nimejaribu kusoma katiba ya JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kuanzia
SURA YA PILI
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano
33.-(1) Kutakuwa na Rais...
Miswada hupitia hatua zifuatazo
82.-(1) Muswada wa Sheria wa Serikali utawasilishwa Bungeni na Waziri au Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
(2) Muswada Binafsi wa Sheria unaweza...
Leo jioni katika mdahalo uliorushwa na itv kwa kweli nimevutiwa sana na profesa Kabudi,sio kwamba sijavutiwa na wengine hapana watu wamefanya presentations zao kwakujiamini na kwa uhakika wote...
Kifungu hicho kinasema kuwa mbunge akikosa kuhudhuria vikao vya bunge mara tatu mfululizo bila ruhusa ya Spika basi mbunge huyo anapoteza ubunge wake. Kifungu hiki hakijatumika nchini hapa ila tu...
Toka tupate uhuru ni miaka sasa zaidi ya 55,kama nchi tumepitia mabadiliko mbalimbali ya mchakato wa katiba ya Jamhuri ya Muungano,hatujawahi kupata katiba iliyotokana na matakwa ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.