KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
WanaJukwaa, Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha...
5 Reactions
292 Replies
24K Views
Habari wakuu, Mimi binafsi naweza sema matatizo yote ya nchi yetu ni katiba, hata JPM isingekuwa katiba ya hovyo iliyopo asingekuwa na mamlaka ya kuendesha nchi namna ile. Katiba yetu imempa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Machi 30 mwaka 2021 Bunge la Jamhuri ya Muungano lilishuhudia dalili za kurudi mchakatoni kutokana na hoja za wabunge wawili waliokinzana wakati wa vikao. Mbunge wa Viti Maalumu kutoka chama cha...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Umoja wa Katiba ya Wananchi wa vyama vya upinzani (UKAWA) uliibuka kutokana na minyukano ya kimaslahi ya siasa huku ukinasibu kutetea maoniya wananchi, na ndio waliosikilizwa zaidi kuliko serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hii Report ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali 2019/2020 imewasilishwa Bungeni. Kinachoshika headline kwa sasa ni juu ya ubadhirifu/ufisadi, pamoja na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi...
3 Reactions
4 Replies
889 Views
Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
UMOJA NI MUHIMU SANA KATIKA kuinuka kiuchumi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi kukupa pole ya msiba mzito uliokupata Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Msiba wa kuondokewa na Baba yako kipenzi. Mungu akutie nguvu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Katiba ama Rais wa jamuhuri ya Tanzania siujui kipi kipo juu ya mwingine! Mimi nilidhani katiba, maana kwa anayejaribu kuivunja katiba adhabu yake ni ndogo sana kumzidi anayetaka kumpindua rais...
0 Reactions
5 Replies
743 Views
"...Nina maradhi gani na katiba..?" Alilalama aliyepata maradhi...! Na nadhani maradhi yake ni haya Alikuwa makamu mwenyekiti wake katika hilo bunge la katiba iliyoleta maradhi. Kwa ushirikiano...
6 Reactions
15 Replies
764 Views
Si Kikwete wala CCM waliowahi kuamini katika kuandikwa upya Katiba yetu. Hivyo wao kuzalisha Tume ya Katiba IKULU badala ya BUNGENI tayari ni safari ya maafa kwa taifa letu kama washikadau wote wa...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Mchakato wa Katiba Mpya sote tunafahamu ulivyoenda na ulivyoharibiwa na "wahuni" wachache wasiolipenda Taifa letu la Tanzania. Kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020) suala la Katiba Mpya...
1 Reactions
7 Replies
970 Views
Kama kuna kipindi ambacho Katiba yetu imelivusha taifa letu basi ni kipindi hiki cha kuwapata viongozi wetu wakuu wa awamu ya sita. Katiba yetu hii imepata heshima kubwa duniani kote na kuifanya...
1 Reactions
0 Replies
405 Views
Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa...
0 Reactions
4 Replies
663 Views
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu. 2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu. 3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa nini katiba inataka mawaziri wote wanaoteuliwa kuwa mawaziri wawe wabunge? Kama lengo lilikuwa ni kwa sababu wabunge wameaminiwa na wananchi wapiga kura mbona kuna viti 10 vya ubunge ambavyo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hv bado hatuja nyooka tu. Ndoto za katiba mpya zpo kwel.?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom