Mimi nimekuwa muumini wa katiba mpya tangu enzi na enzi. Kabla hata JF haijazaliwa.
Niliamini hivyo kwa sababu unapobadili mfumo wa kisiasa, basi ni lazima pia ubadili sheria na taratibu...
HAIWEZEKANI Chama cha Siasa kuibuka na kusema kinataka masuala ambayo yapo kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wanachama waeleze changamoto katika jamii zinatatuliwa kwa njia gani...
Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo.
Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya...
Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu.
Wewe ndiye ulikuwa Makamu...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan, anatimiza siku 100 akiwa madarakani, ni wazi Watanzania bado wana kiu ya kupata Katiba Mpya.
Na wengi hususan wanasiasa, wamekuwa wakiidai kwa nguvu zote.
Hata...
Wakuu,
Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya.
Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu...
Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .
Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi...
Katiba mpya itaundwa tu.
Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani...
Nawasalimu katika jina la Chama cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee.
Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na...
Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania.
Moja kwa moja kwenye.
Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni.
Kama...
Kumekuwa na movement na msukumo kutoka makundi mbali mbali ya kutetea haki za nimadamu, NGO na vyama vya siasa hasahasa vya upinzani kutaka katiba mpya. Ni jambo zuri sana japo kwa upande wa CCM...
Habari Tanzania!
Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za...
YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA
Kongamano lilianzia kwa...
Kwenye jamii yoyote ile iliyostaarabika ni lazima kuwe na utaratibu wa kuwaongoza watu. Huu utaratibu ni muhimu ukakubalika na makundi yote katika jamii hii na hapa ndio katiba hutungwa. Wengi...
Msingi wa Rasimu ya Katiba ni muundo wa Muungano. Wabunge wakikataa muundo wa muungano unaopendekezwa Rasimu hii inakufa kwa sababu karibu ibara zingine zote zimewekwa kwa kuzingatia muundo huu wa...
Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana...
Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.
Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu...
Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli..
Katiba katiba
Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha.
Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa.
Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.