KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and...
2 Reactions
8 Replies
957 Views
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza. Sasa hivii...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za...
79 Reactions
273 Replies
28K Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa...
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Profesa Assad akihojiwa, amesema kuwa katiba mpya ni jambo la muhimu sana Akasema somo tulilolipata katika utawala uliopita limetuonyesha umuhimu wa kuwa na katiba nzuri. Profesa Assad amemuambia...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Salaam wana jamvi mimi ni mzalendo ambaye muda wore najivunia kuwa M Tanzania. Nimekuwa nikifatilia Hali ya nchi ya Kenya kusema kweli Kenya inasikitisha 1: Kenya haiheshimu Rais 2: Uhuru wa...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima...
1 Reactions
0 Replies
490 Views
Wanabodi, Hiki ni kisa cha kufikirika tuu lakini ni kisa cha kweli na ni cha ajabu kweli, ila ndio ukweli wenyewe kwa kitakachotokea kwenye ndoa ya wawili hawa!. Kwa hapa Tanzania, kwa kawaida...
4 Reactions
39 Replies
8K Views
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama. Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko...
0 Reactions
7 Replies
938 Views
Bunge saizi linaboa,ni la upande mmoja baada ya wenzao wa serikali 3 kutoka,ila naona wale wa serikali 2 wameachiwa nafasi na bado wanashindwa kujenga hoja ya namna kuitoa Tanzania kwenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ili kujenga taifa tulitakalo na kufikia ndoto za wengi, ni lazima tukabiliane na matatizo yaliyomo ndani ya nchi yetu kwa kuboresha na kusimamia sheria. 1. Uwajibikaji wa viongozi katika...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Habarini, Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai...
1 Reactions
0 Replies
371 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Penye nia pana njia na subira huvuta heri. Hii subira ndio imepelekea wakapata mbunge ambaye hata akiwa Dodoma moyo wake uko singida ila mwili wake uko Dodoma. Mh Ramadhan...
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Wazaliwa wa Zanzibar wanapenda sana kujiita wazanzibari ila Wazaliwa wa Tanganyika wanakatazwa na wazazinzibar kutukuza Utanganyika. Marais wote wamekuwa wakijiita watanzania isipokuwa awamu hii...
0 Reactions
4 Replies
696 Views
Kwanamna mambo yalivyo ni dhahiri shahiri kwamba kuipata Katiba Mpya bila ccm KULAZIMISHA nakama ndoto ya mchana kweupe, hawa jamaa wanajua kabisa kwamba Katiba Mpya itawaweka pembeni. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila amesema Chadema ilikurupuka na kudandia hoja ya Katiba mpya ya nchi bila kuzingatia maslahi ya Watanzania na kuonya kuwa mchakato wa kuunda Katiba...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Wote Naamini kwamba Mmemsikia Mzee Kinana , alichozungumza , nadhani sasa Mzee wetu umri umeanza kumtupa mkono (Ni kawaida kwa binadamu kuzeeka na kupoteza uwezo wa kufikiria ) , Mzee wetu anadai...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wamesema Serikali Tatu gharama na wananchi hawataki Serikali 3 wanataka Amani na Maendeleo.., Sasa sababu maendeleo yanaendana na kupunguza gharama na uwajibikaji, Je ikifika wakati wa kujadili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…