wale wote wanaotaka kumpa Rais nguvu ya ku control swala hili la katiba wameweka SIASA mbele badala ya maslahi ya nchi kwani Urais ni moja kati ya taasisi ambayo mamlaka yake yanajadiliwa na swala...
The Constitution of Tanzania: Victim or Villain of a Peoples' Underdevelopment [Draft]
Background
The call for a new constitution is not new in Tanzania's politics. In 2005, a CCM MP for...
Wenyekujua vizuri katiba ya Tanzania ingawa ili ni swala law forum lakini niamua kuileta hapa.
Ukisoma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utaona lugha ambayo imetumika ni kiume zaidi...
Great thinkers! Nawaomba sana mzame na tulitafakari kwa makini na kama litakubalika liwekwe kwenye Katiba Mpiya. Ni hili hapa, "KATIBA ITAMKE KWAMBA NCHI HII NI KWA WANANCHI HALISI TU."...
Hili ni swali la kihistoria si la kisiasa. Kwa wale wanaojua ni jinsi gani na ni nani aliyewaunganisha Wazanzibar kuwa nchi moja na kuwapa utambulisho wa utaifa kuwa wao ni Wazanzibari? Swali hili...
Salaam wanaJF!
Baada ya pilika pilika za uchaguzi mdogo wa Igunga, sasa mambo yanarudi kama yalivyozoeleka. Kuna mengi ambayo nimejifunza, na natumaini wanaJF, watanzania wote na vyama vya siasa...
Kwa kweli inaumiza sana kuona taifa, majimbo na kata vinaongozwa na watu ambao hawakuchaguliwa kihalali na wananchi bali wamechaguliwa na CCM inayodhani ina haki ya kumiliki taifa hili. Chaguzi...
Mjadala wa muungano ni mkali kweli,wazanzibar wanasema muungano huu ni haramu kwa sababu mikataba haionekani na wala serikali ya Zanzibar haina mikataba zaidi ya picha ya kuchanganya udongo kati...
Leo nilipokuwa napitia blog ya Issamichuzi nilikutana na habari za Mkuu wetu wa nchi kuwa mgeni rasmi kula Marekani kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa tatu wa chama cha watanzania waishio huko kwa...
Kwa wale wadau wanaofutilia mchakato wa katiba mpya, leo Deus Kibamba amezindua kitabu cha mwongozo wa katiba kwa raia pale habari maelezo. Nakala zinapatikana bure kutoka policy forum pamoja na...
"Nikiwa bungeni Dodoma nimefuatilia kupitia vyombo vya habari mdahalo wa katiba ambao umefanyika Ubungo Plaza. Natoa salamu za mshikamano na pongezi kwa waandaaji, watoa mada na washiriki wa...
Warioba anajichanganya mwenyewe, anasema Serikali mbili malalamiko yanaendelea kujitokeza kila kukicha , vilele anasema wanaohitaji Serikali tatu wasijidanganye kuwa zikianzishwa kero za...
Vijana mbalimbali kutoka asasi za vijana, shule za sekondari, wajariamali, vyuo vya elimu ya juu na vijana wa makundi mbalimbali wapo katika Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya hapa...
Mbunge wa Jimbo la Micheweni, Bw. Haji Khatibu Kai (CUF) alipendekeza kuwa kuvunjwa kwa muungano kwa kuwa hakuna uwiano katika mambo mbalimbali yanayofanywa na serikali. Alisema kuwa serikali...
Leo Rostam aziz amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama na serikali huku siku zilizotolewa na halmashauri zikielekea kuisha, leo rostam kesho ni nani kati ya mapacha wawili waliobaki?
Hebu Mnisikilize!
Can somebody tell with an independent mind! Muungano wa Tanganyika na Unguja (ati Zanzibar) una faida gani kwa Tanganyika? Hebu tuangalie nchi nyingine zilizo katika muunganiko...