KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Ukifuatilia hoja za wana CCM kama vile Jenista Mhagama Bungeni utashangaa. Wanajisahau kiasi kwamba wanadhani katiba ya nchi ni mali ya CCM. Muda huu siyo wa CCM kudanganya wananchi. Huwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kuna kisa cha kijana aliyehangaika sana kuusaka ukweli. Katika pitapita zake akaliona duka. Kibao kimeandikwa dukani ; ” Hapa tunauza ukweli”. Dukani hapo ukweli unauzwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa zangu za kiintelijensia zimenipasha kuwa leo viongozi wa Jukwaa la Katiba watakuwa na kipindi Live Mlimani TV kuanzia saa mbili unusu usiku. Naamnini wanaweza kujibu hoja nyingi...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Nimeongea na watu wengi wa Karagwe kuhusu kauli aliyosema bungeni mbunge wa Karagwe Blandes kuwa wananchi wa Karagwe wamemtuma kuwa wanakubali muswada wa tume ya katiba uliopo bungeni upite kama...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wadau nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa umakini sana na Kuona Chama cha demokrasia na Maendelea CDM wakitoka nje kwa kukataa kuendelea kujadili muswada wa Mapendekezo ya Katiba mya kwa kutaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa watu wanaofuatilia siasa za Tz kuna wakati CUF walikuwa wanatumia falsafa ya ngangari na kujifanya wanatetea watu. Kuna watu nchi hii wameteswa na kupata tabu kwa ajili ya CUF. CUF walikuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naamin katiba mpya siyo tiba ya umaskini wa watanzania bali itakuwa nyenzo mojawapo ya kututoa sehemu moja na kutupeleka sehemu nyingne ambayo naamin itakuwa bora zaidi. Ninachooka katika mchakato...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu watanzania, mjadala unaoendelea bungeni "muswada wa katiba" nawaambia ya kuwa wabunge wa ccm kupitia bunge wanatuambia kuwa dar-es-salaam, dodoma na zanzibar ndiyo tanzania!!!!!! Maajabu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bunge la 10,Mkutano wa 5,Kikao cha 6 Mpaka bunge linahairishwa mi sijaelewa nini kinaendelea Bungeni Hivi ni kweli hawa wabunge wamejipa japo muda kidogo wa kukisoma walichokiongea? Maana kila...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninapendekeza katika Katiba mpya suala la Mbunge kuwa kwenye uongozi kwa vipindi zaidi ya viwili lisipewe nafasi. Mbunge ahudumie wananchi wake kwa vipindi viwili tu vya miaka mitano mitano. Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hebu nijuzeni vizuri kuhusu jukwaa la katiba Nalijua jukwaa hili kwa maana ya jinsi lilivyo mstari wa mbele kuendesha mijadala na michakato ya kupata katiba mpya likiwa chini ya mwenyekiti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania inaelekea siko? Kama kungekuwa na Baraza la Taifa la Katiba, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isingekuwa ovyo!!! Baraza la Taifa la Katiba linatakiwa liwe na wajumbe wasiofungamana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
#48 Moyo 2011-11-15 09:42 "alikiri kwamba aliwazuia wajumbe wa kamati hiyo siyo tu kwenda mikoani kukusanya maoni ya wananchi, lakini hata wale waliotaka kwenda nje ya nchi kwa lengo la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi hawa watu ni nani anaitakia mema nchi hii? Ukizingatia kelele nyingi zinatupoteza mara, 1.jukwaa la katiba 2. Mara wabunge upinzani, 3.mara wabunge sisiemu, 4.mara wanasheria uchwara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hadi sasa tumeshuhudia utumiaji mkubwa wa nguvu kupita kiasi wa Polisi dhidi ya wananchi wa Tanzania. Ukweli ni kwamba Tanzania imefikia hatua ambayo inafadhaisha, inakera na inasikitisha sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Raisi wetu inafaa akae muhula mmoja tu, usiopungua miaka mitano (5) na kutozidi miaka saba. Napendekeza miaka saba. Hii ni kuongeza ufanisi wake tupate tija zaidi. Pia hatalazimika kuomba kura na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shivji: No need for hurry about Constitution Bill By Guardian on sunday correspondent 13th November 2011 Professor Issa Shivji The opposing voices against planned...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu Zangu: Mwanasiasa Zitto Zuberi Kabwe anaandika; ” Kama kuna jambo moja ambalo huunganisha Taifa ni KATIBA ya taifa hilo. Katiba huweka misingi mikuu ya nchi na namna ya kujenga na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom