KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Baada ya kusainiwa tarehe 01.12.2011 huo mswada wa sisiemu/kafu mbinu zile zile za kutumia UWT zitatumika na within no time katiba mpya hiyo hapo!!!!!!!! Kama wakati ule hakuna aliyekohoa leo nani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kujaribu kuwafanya watanzania waamini kwamba Disemba 09, 2011 tunasherehekea miaka 50 tangu kupata uhuru ni kupindisha historia kwa maslahi ya nani????????? Ni nani tunajaribu kumdanganya kama si...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inasikitisha kuonana kuwa viongozi wengi hapa tz ni viongozi wa posho. Yaani wanatafuta uongozi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Wakishapata uongozi wanakuwa hawajui hata la kufanya. Watautetea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Tamko la Chama lilitolewa mwishoni mwa Novemba 2011 kuhusu mchakato wa katiba mpya ya JMT hili hapa. TAMKO LA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NCHINI...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
leo kuanzia saa saba na nusu kwenye ukumbi wa Manor Hotel kutakuwa na kongamano la katiba mpya litakaloongozwa na viongozi wa chadema kutoka makao makuu...mnaombwa kufika
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema waweka msimamo wao kuhusi Rais kusaini muswada wa katiba kuwa sheria Mwandishi wa mtandao huu kutoka Dar es Salaam Neema Kishebuka anaripoti kuwa ,Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kwenye redio na Tv na kusoma magazeti na mitandao jamii ambako baadhi ya watu wamekuwa wakisema kuwa katiba mpya haitatuletea mabadiliko katika maendeleo yetu na kwamba watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kafunguka kwa maneno mafupi kweli, nanukuuu: ....."situmiii jukwaa hili , si kwa kujisafisha kama wengine ,wananchi mnatujua, na wale wengine mnawajua". Source : Radio Maria Tanzania NAWASILISHA.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Tafadhalini nawaomba mjadili mchanganuo huu wa kuipata KATIBA MPYA YA WANANCHI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wenye maoni, wayatoe. Wenye kutaka uboreshwe, waboreshe. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
“Tumeamua kujitoa kwenye mchakato mzima wa kuratibu Marekebisho ya Muswada wa Sheria ya Katiba kutokana na Rais kukiuka makubaliano yetu Ikulu yaliyomtaka aupitie kwanza kabla ya kuusaini.” (Mh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Usanii na tikitaka za CCM na CUF dhidi ya CDM zimeendelea kufuatia uamuzi wa NEC ya CCM kumtaka JK kukutana na vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni. Leo CUF wameomba kukutana na JK...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa tamko rasmi kuhusu muswada wa sheria ya kuundwa kwa Tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba Mpya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kutosaini muswada huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I am a nationalist in its true colours ;however when it comes to constitution I envy the Kenyans.They passed through a worst and violent political crisis and yet they have a produced an excellent...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwanza kabisa ni mshukuru mungu baba kwa kutupa uzima na tumuombe aendelee kuilinda CHADEMA, PILI: Hii katiba inayo tajo kuwa inaundwa upya na Rais anaenda kuteua jopo la wataalamu juu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kuna mbunge wa Mtera kupitia CCM naona anafoka hapa bungeni na kutoa povu kwamba CHADEMA wanafadhiliwa na Ujerumani ili kupinga muswaada wa katiba mpya na kusababisha machafuko katika nchi...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Watanzania tushikane mikono ili tupate katiba, kwa ajili ya ustawi wa taifa letu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wazanzibari wanaogopwa sana na Viongozi wetu wa Serikali ya Muungano! Laiti kama wangeuchana tena Muswada wa kuunda Tume ya kukusanya maoni kuhusu Katiba mpya JK asingethubutu kusaini Muswada...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Utangulizi Makala hii imeandaliwa kwa ajili ya kusherekea miaka hamsini ya uhuru yaliyofanyika katika Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania kampasi ya Mwanza tarehe 25/11/2011. Makala hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama ilivyopendekezwa lazima tuanze kujipambanua kati ya wanaouunga "Muswada wa Makinda" versus " Muswada wa Wananchi". Kwa mtizamo wangu kama tutajigawanya katika pande hizi mbili, majina haya tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom