Kwa mlio na access,
Watch TBC sasa, Waziri wa Sheria na Katiba, Mhe. Selina Kombani yuko live hewani, akiutetea Muswada wa Kuunda Tume ya Kukusanya Maoni ya katiba mpya!.
Ameutetea kwa nguvu...
Hatimaye Mchakato wa kuandika Katiba mpya umechukua sura mpya baada ya Rais kuitisha wadau mbali mbali kupeleka majina ya watu wenye sifa ili awateue.
Source: Chanel Ten.
... ambao waliujadili muswada huo na kuupitisha. Wangeweza kuhisi wamedharauliwa na kuonekana hawana thamani. Jakaya Kikwete.
Hii maana yake ni kwamba wabunge ni bora kuliko wananchi ambao ni...
Ni watu watakaokuwemo kwenye tume ya kuratibu na kukusanya maoni kuhusu katiba mpya.ni watu 15 kutona bara na 15 kutoka viviwani.mwisho ni march 16,2012 baada ya hapo rais atakaa na rais wa...
Natanguliza shukurani zangu kuchangia hoja ya katiba mpya hususani kuhusiana na chama cha siasa cha CHADEMA.
Nimeamua kwa makusudi kabisa kuanzisha hoja hii ili hisitoria ije ihukumu.Kimsingi hoja...
Ilikuwaondoa wote wanao shindwa kufanya kazi wanawaza uRais!!
Tuchague wabunge tu alafu chama chenye wabunge wengi wachague wazir mkuu(ndie awe mtendaji mkuu)atokane na ubunge
Wakatabahu...
Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na...
Mjadala wa leo: Tunajifunza nini kutokana na yanayojiri katika siasa za Kenya baada ya ICC kuamua kuwa Uhuru Kenyata na wenzake wana kesi ya kujibu. Karibuni
Wapendwa wanaJF,
Suala la Katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele zamani na wananchi wapenda ukweli na wenye maono akiwepo Makwaia wa KUHENGA, mwandishi wa Kitabu cha CCM NA MUSTAKABALI WA NCHI...
Kutoelewana kati ya serikali na JWTZ kutokana na serikali kuvunja makubaliano ya awali kuwa jeshi la wananchi ndilo lishughulikie mipango yote ya kupandisha na kuzima mwenge miaka 50 ya uhuru. TBC...
Hatuna haja ya kubishana na mamlaka sana kuhusu katiba tunayoitaka ila la msingi ni kuomba KATIBA HIYO ITUACHIE UHURU WETU KATIKA DINI NA KUABUDU, bila kujali ni mamlaka ya nani/ipi/ kati ya...
5th December 2011
Naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Bara Julius Itatiro akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari kuhusu kwenda Ikulu kuonana na Rais Jakaya Kikwete...
Kutokana na ongezeko la wahuni wengi nchini imefika wakati kutafute mfumo wa kuhesabu kura kulingana na hekima za watu. Haiwezekani kura ya kila mtu kuhesabiwa kama ni moja, inabidi ifike wakati...
Kutokana na mchakato wa kuandika katiba mpya mie nina 'oni' moja tu nalo ni kuhusu kula kiapo kwa Rais, katika nchi zinazoendelea rais akitangazwa tu jioni kala kiap. Kwa mtazamo wangu hii kwa...
Napendekeza ili tume ya kukusanya maoni iwe huru ni vizuri isishirikishe kabisa wawakilishi wa vyama vya siasa,taasisi za dini,NGOs,Vyuo Vikuu na wabunge na viongozi wa makundi kama vijana ,akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.