KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

wakuu tukiwa tunaelekea kwenye katiba mpya napendekeza lifuatalo; tuweke maneno tunayoamini kuwa ni ya msingi kwenye katiba mpya kwa ajili ya tafakari zaidi bones are made before the flesh and the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
-Raisi ateuwe mawazili ila wawe wana report kwa waziri mkuu,pia waziri mkuu awe na mamraka maarumu ya kumfukuza kazi waziri kwa nakara ya mapendekezo ya bunge. - katibu mkuu kiongozi awe...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
kwanini?wanafunzi waelimu ya juu,atupewinafasikubwa katika swalazima lakatiba.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika katiba mpya wagombea urais, wabunge ambao kabla ya kuchukua fomu kwa nia hiyo kama watakuwa na uraia wa nchi mbili wasiruhusiwe kugombea urais wala ubunge. Hii itatokana na ukweli wa haya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kuwa vijana ndo taifa la leo mchakato mzima uendeshwe kwa kuwapa nafasi kubwa zaidi la sivyo hatuta fika pale ambapo kila kijana wa kitanzania anatamani kufika
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Ndugu wananchi; Mimi napenda kutoa mapendekezo yangu kwa tume ya Katiba Mpya ili kuweza kuona namna gani ya kuyafanyia kazi. Nafanya hivi kwasababu kwasasa nipo nje ya nchi na mimi kama Mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Source;NEC Web 1. 1.In discharging its functions in accordance with the provisions of the Constitution, the National Electoral Commission shall not be obliged to comply with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Katika mambo muhimu yanayotakiwa kujadiliwa na tumalizane nayo katika katiba ni Huu muungano tata. Lakini hata wanasiasa na vyama wawe waupinzani au waliomo CCM kuna wanaoona ni bora...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Katiba mpya ni muhimu sana tuna katiba ya sasa tangu uhuru kwa takribani miaka 50 sasa hivyo ni kweli katiba inahitajika kunasheria nyingi za kikoloni zimepitwa na wakati hivyo katiba ni muhimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani ebu tujadili hoja ya Katiba na Uelewa kwa jamii isiyojua kusoma na kuandika. Tunaweza kufanyeje ili kufikisha ujumbe wa kuwashirikisha hata wasiojua kusoma na kuandika kuchangia mawazo yao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika katiba ijayo wananchi wapewe haki ya kumiliki ardhi na kuitumia kama mtaji wa kujipatia hisa katika uwekezaji pale wawekezaji wanapotaka kuitumia ardhi hiyo. Hii itawawezesha wananchi kuwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mtazamo naona katika katiba mpya wabunge wabaki na kazi yao ya ubunge wasiwekwe kwenye nafasi yoyote inayoweza kuleta mkanganyiko nafasi hizo ni kama uwazir, ukuu wa mkoa na wilaya, wajumbe wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu ni mjadala, tujadili katiba mpya itamke vipi kuhusu hili?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa tarifa nilizozipata leo Mzee warioba huenda akateuliwa na Rais Kuwa mwenyekiti wa tume ya kusimamia maoni ya katiba, tume hiyo itatauliwa siku chache zijazo.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Maoni yangu katika katiba mpya kuwepo na kipengele kitakachoongelea uhuru wa mbunge. Katika uhuru huo pamoja na mambo mengine itamkwe wazi kwamba mbunge ana uhuru wa kwenda chama chochote na bado...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Je, haiwezekani kuazima katiba kutoka ktk nchi nyingine? Kwa upeo wangu mdogo kisiasa na kielimu nafikiri katiba ikiwa nzuri husababisha nchi kuwa na maendeleo, uongozi bora na haki sawa kwa...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Ccm wamegudua wapo ktk hatari kubwa sana yakuwa chama cha upinzani kwa Cdm in 2015 au 2020. Wanajua fika kuwa katiba iliyopo sasa inawapa wakati mgumu wapinzani kwani chama tawala kinauwezo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari kutoka Monduli za Uhakika kutoka Monduli zinasema Mheshimiwa Edward Lowasa yupo hoi bin taaban. ile stroke imelipuka tena na hii sio ile yua kufanya kazi ngumu ila wajanja wamekula fedha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa watu wanakuwaga ni tatizo sana. na huwa wanakuwa jeuri mno kwa mamlaka zingine za nchi ila tu wanakuwa watiifu kwa aliyewachagua
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom