kutokana na viongozi wetu tulio wachagua,kugawa mda wao wa kuongoza katika vipindi viwili kamaifuatavyo.
1.kipindi cha kupumzika,kusherekea na kujipongeza kwa ushindi alio upata kipindi cha...
Monday, 18 June 2012 13:53
Mwanafunzi akilia na Katiba
Johnseverini Mkini
KATIBA ni Sheria Mama ambayo ni mkataba kati ya Mtawala (serkali ) na Raia. Kwa maana halisi ni kwamba...
Monday, 18 June 2012 13:42
Phinias Bashaya
MWANANCHI aliyefungwa jela, kifungo hakimuondolei haki ya kuwa Mtanzania. Wananchi ni msingi wa mamlaka na wafungwa wana haki ya kutoa...
Ndugu wanaJF salamu
Kutokana na mchakato tulionao hivi sasa kuhusu mabadiliko ya katiba yetu, leo nimependa nitoe maoni yangu kuhusu baadhi ya mambo ambayo ningipenda yaingizwe kwenye katiba mpya...
Ndugu wana JF
naomba tuwe tunapeana vitu ambavyo tunahitaji viwe katika katiba mpya kwani kuna watu ambao hawatafikiwa na ile tume ya kuratibu maoni ya wananchi, kwa hiyo wale watakaopata nafasi...
1. ''WATANZANIA WARUHUSIWE KUPIGA KURA YA URAIS POPOTE WALIPO DUNIANI''.
2. ''KUFUFULIWA KWA NCHI YA TANGANYIKA ILIYOPATA UHURU TAREHE 09 DESEMBA 1961, NA KUUNDWA KWA SERIKALI TATU (Muungano...
ndugu zangu ni muhimu sana wote tushiriki katika uandaaji wa katiba mpya! itakuwa jambo la muhimu sana iwapo kila mwananchi mwenye ufahamu atoe mchango wake wa mawazo ili katiba itakayoundwa isiwe...
Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?Waislamu sehemu mbali mbali nchini wamekuwa wakiliuliza Jukwaa kuhusu ni yepi madai ya waislamu katika utoaji maoni yatakayokusanywa na tume? Yafuatayo...
Leo katika harakati zangu za kimaisha nimebahatika kukutana na mmoja ya wajumbe wa Tume ya Katiba,kwa kuwa tunajuana na tunafahamiana uzuri, Tukasalimiana na kuulizana hali na baada ya salam...
Mods ningependa uiache mada kama ilivyo na isiunganishe na mada zingine.
Kama kawaida, ningependa kutoa salaam kwa waZalendo wenzangu. Katika mjadala huu wa katiba kuna mambo mengi...
Nitawaomba wananchi wenzangu wa LINDI..kunipa nafasi..nikasimamie maslai yetu(wananchi)walala hoi..nikakomae na walala Kheri..wasije tupiga bao la kisigino
Naanza na ibara ya 8(vifungu...
Nini kilitokea Tanganyika ikapotea ktk ramani ya kitaifa na kimataifa kiasi cha kuzaliwa kile kinachoitwa Tanzania bara ilhali Zanzibar ikaimalika na kuwa na katiba yake?
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameeleza kushtushwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete inayolenga kuzuia wananchi kujadili kuhusu Muungano wakati wa...
NCHI HII MPAKA HAPA TULIKO IMEJENGWA KWA KUTUMIA MAWAZO YA WATU AMBAO HAWAKUA WASOMI NAO WALIWEZA KUWEKA MISINGI IMARA SANA NA TUKAWEZA KUIHESHMU JE?
Kwa sabbu katba tuliyo kuwa tunaitumia...
aise wana jf mimi naona it would be of an advantage to creat another blog for jf and others to have their views on the new constitution placed on the blog separately.
It is an idea --- take it or...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 05/05/2011 // Makala/Tahariri // 21 Comments
Msione taabu sana kusoma mada hii au mada zangu. Kwa jicho la ghafla, utadhani kama vile jokes; lakini...
Heshima zenu wakuu,
Nikiwa mmoja wa watanzania wanaoishi ughaibuni ningependa kupewa maelekezo kutoka kwa yeyote mwenye kufahamu namna gani nasi tunaweza kushiriki katika kutoa maoni yetu hususan...
Now that we have the tume next? As a forum of Great thinkers what do we do?
Do we wait to hear from them? Big No! Let us continue pondering about what should and should not go into our new...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.