MFANO.mtumishi wa umma kuwa na vyeo zaidi ya kimoja kulipwa na hazina wakati wengine wanataabika mjini tulikemee kwa nguvu zetu zote haya ndio mapungufu makubwa kwenye katiba iliyopo.
Katika wakati ambapo watu wanasubiri kuchangia maoni yao ya kutunga Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sisi wengine tuanjua ya kwamba hatutapata muda wa kuchangia hasa kulingana na...
Naamini mchakato wa Katiba Mpya utakuwa makini kwa kuwa tume iliyoteuliwa ni makini.
Maoni yangu ni kwenye masuala ya msingi kama ifuatavyo;
Katiba mpya itenganishe kabisa mihimili mitatu ya...
Huyu mzee vipi jamani! Eti anawataka wananchi wasing'ang'anie kujadili madaraka ya Rais sasa uhuru wa maoni huko wapi? Wananchi wanataka kusawazisha eneo muhimu la taasisi ya Urais yeye anazuia...
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph...
Kwa upande wangu hasa katika kipindi hiki tukielekea katika maadalizi ya katiba mpya ningeomba vyombo vya habari viandike au vitoe taqarifa sahihi na sio kupotosha watu kwani kwasasa imeonekana...
Je, tuko tayari kupokea majibu yatakayotokana na Mchakato wa Katiba Mpya?
Katika siku za karibuni kumeibuka mijadala mingi katika siasa za Tanzania. Kwa bahati mbaya, kwa masuala ambayo yanahitaji...
Karume alipoongoza nchi kwa kutumia presidential decrees hakuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Maana enzi za utawala wake aliwahi kutumia Presidential Decrees zifuatazo:
(i)
The...
Mheshimiwa Jaji Warioba,
Tunakuomba usiwachagulie waTanzania nini cha kuongea katika kutoa maoni yao. Kwa nini hutaki madaraka ya rais yazungumzwe. Kama tulivyotabiri, you will never be impartial...
Heshima kwenu wakuu, kiukweli huwa naumizwa na jinsi Africa tunavyoshindwa kusonga mbele kimaendeleo ili hali chanzo chake na suluhu yake tunafahamu kwani ni kama "factors for the rise and fall of...
Nimeangalia maeneo yalitangazwa na Jaji Warioba nikajiuliza kwa nini imechagua maeneo haya kwa kuanzia?, je ni strategy kama ile ya kutangaza matokeo ya uchaguzi ya 2010 kwa kuanza na sehemu CCM...
Nashangaa kuona maoni ya katiba tume ita kusanya kwenye baadhi ya kanda hapa tanzania, madhara ya hii ni kuchukua maoni ya watu wenye matatizo ya ina moja dini ya aina moja na shughuri za uchumi...
LNaNashawishika kuona nchi yetu inabadilika kwenye mindset za wananchi. Tuanze nchi mpya kabisa kuanzia jina, mpaka, Wimbo wa taifa, na katiba. Tumekuwa wanafiki toka tulivyoungana na Zanzibar...
Huyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo:
Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari...
HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
MHE. JOSEPH WARIOBA KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA
HABARI TAREHE 19 JUNI, 2012 KATIKA UKUMBI WA
KARIMJEE, DAR ES SALAAM
Ndugu Wanahabari...
Baada kutafakari kwa kina kirefu kuhusu shughuli za Bunge la Jamhuri ya Tanzania nimegundua kuwa kuna udhaifu mkubwa ambao inanilazimu kusema kuna ulazima wa kubadilisha katiba ili kutia sharti...
Mimi kama mtanzania safi napenda kuishauri serekali iweke kipengele kinachoonyesha idadi ya watanzania walioenda loliondo kwa babu kwa ajili ya kutibiwa..hii itatusaidia kujua babu alipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.