m a new comer but hop iwill gate a good coparation, Ihave a simple question whats wrong, because every one in his/her contribution concerning new contitution talking about Madaraka ya rais iv its...
Watanzania tutambue umuhimu wa nafasi iliyo mbele yetu ya 'UTUNGAJI WA KATIBA MPYA' katiba tuliyo nayo ni ya miaka 50 iliyopita. mawazo na mazingira ya wakiti ule mbali ya kua yalikua ya wachache...
Warioba`s commission `locking us out` - CSOs
By Lusekelo Philemon
30th July 2012
The Constitution Review Commission has been criticised for monopolising everything in the...
Wana Jamvi ni maoni yangu tu, hivi hatuwezi kuwa na maoni ya pamoja juu ya katiba mpya? Maoni hayo tunakuwa tunayawakilisha kwenye tume sehemu mbali mbali punde inapofika. Hii itapelekea maoni...
1. Muundo wa serikali tatu. (TANGANYIKA, ZANZIBAR NA Jamhuri Ya Muungano).
2. Mikoa na wilaya ipunguzwe na idadi iwe kwenye katiba. Iwe mitano, sita lakini isizidi kumi.
3. Wizara ziwe kwenye...
Monday, 18 June 2012 13:37
Nafasi ya Urais
Urais ndio alama kubwa ya Muungano. Urais unashika nguvu zote za dola na kwa hivyo Mtanzania anaekuwa Rais ndiye mwenye amri ya mwisho katika...
Jaman kwa wale watakao bahatika kutoa maoni kwenye tume, waniwasirishie dukuduku langu kwenye tume,darasa la saba wasiruhusiwe kugombea ubunge kwenye chaguzi zijazo,kuwe na limitation kwenye...
TUME YA KUKUSANYA MAONI JUU YA KATIBA MPYA- DUNGA 9/7/2012
Dunga maoni leo:
Walosema mfumo wa sasa wa Muungano uendelee ni 59, walotaka mfumo wa Serikali mbili huru zenye mamlaka kamili...
Bila kujali itikadi za vyama ningeomba watu wenye uchungu na uzalendo na nchi hii watutengenezee muhtasari ambao utatumika kama dira kwa watu kutoa maoni yatakayotupa katiba nzuri. Najua watu...
Jaji Joseph Warioba
Tume ya kuratibu maoni kwa ajili ya kuandika Katiba mpya inatarajia kuzindua zoezi la ukusanyaji wa maoni kutoka kwa wananchi muda wowote kuanzia sasa...
Kuna taarifa nimezipata muda huu kwa njia ya simu, kuwa CCM wameamua kuchakachua maoni ya Katiba Mpya kwa kusambaza Fomu kwa Wanachama ambao wanajua wataficha siri hasa viongozi katika matawi ya...
1. Raisi aliyepita ni wa Bara, na wa sasa ni Bara, atakaekuja atatoka Bara au Visiwani?
2. Raisi wa sasa ni Muislamu, na ajaye atakuwa Muislamu kwa kuwa awamu ya tatu itakuwa ngumu kuacha kuwapa...
Kukutana Diamond Ijumaa
Mikoa Yote Nchini Kushiriki
Abas Syskes, Masheikh Kuunguruma
Gazeti la LULU la leo Jumanne - 03 Januari 2012 linaripoti:
Kongamano la Kitaifa la Uzinduzi wa Jukwaa la...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Col. Issa Njiku, amechakachua maoni ya wananchi wa Missenyi kwa kuanzia na kata za Kyaka na Kilimililie ambako wananchi walipaswa kutoa...
Jamani wananchi wote wenye uwezo wa kufikia na kutumia internet naomba tutoe maoni yetu kupitia mtandao wa tume ya katiba www.katiba.go.tz Ila sasa sijui watamjuaje kwa haraka kuwa mtoa maoni sio...
Isee upepo wa katiba unapita kwa kasi ya ajabu
Huko nyuma niliwai kuandika kuwa ikifika muda wa kukusanya maoni
TISS wataleta dude moja la kututoa kwenye reli naona wamefanikiwa
kwa kiasi...
Nimefuatllia kwa karibu sana vipindi vya midahalo ya upatikanaji wa katiba mpya TBC kutoka sehemu mbalimbali nchini, kwa sasa, na kwa kweli wananchi wanaonyesha ukomavu na ujasiri wa hali ya juu...
Nimejitahidi kufuatilia kwa ukaribu zoezi la ukusanyaji wa maoni juu ya uandishi wa Katiba linalohitimika sasa kwa Mkoa wa Kagera. Palipo wezekana nimefika na kushiriki kwenye "uwanja wa vita" ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.