Uzuri na ubovu wa katiba upo sana kwenye ibara zenye 8 zote.
Then ibara ya 41 kifungu 7
Ibara ya 46 kifungu cha 1&2
Ibara ya 45 kifungu cha 1 chote.
Tujadili hivi na marekebisho yake
JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwa jamii, hususani katika kusema ukweli.
Naomba kujua; JE TUNAWEZA KUTOA MAONI YA PAMOJA JUU YA VIPAUMBELE VYA TAIFA, AMBAVYO VINAPASWA KUWEPO KWENYE KATIBA? JF...
Ndugu zangu watanzania, nawaomba sana kuhusu suala hili la tume ya katiba tujaribu kuwa na uvumilivu wa kisiasa tukishaanza kupandikiza mambo ya udini hatari iliyo mbele yetu itakuwa kubwa sana...
Pamoja na mapungufu na kasoro nyingi kwenye katiba ya sasa,lakini lazima tutambue kuwa kwenye masuala ya ufisadi na uhujumu uchumi katiba inafaa sana kwani imetoa madaraka makubwa kwa mkuu wa...
Ndugu zangu,
Kama mtego ule wa panya, tutafanya makosa makubwa kama kuna watakaodhani, kuwa haya ya watu kuchinjwa na kujeruhiwa na mapanga yatawakuta watu wa kundi fulani tu. Tukiacha...
Ni jambo la kusikitisha sana,pale wajumbe wanapokuja kutumikia nafasi yao kwa kulinda heshima na marupurupu waliyonayo,badala ya kutumikia hoja zawananchi.
Kwangu mimi kupewa Nyumba na gari ni...
Katika Mchakato wa katiba mpya mimi moja kwa moja naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo. Tunaweza kugawanya Tanganyika katika majimbo matano au sita ya kiuchumi, na jamaa wa visiwani...
Humu JF kumekuwa na washabiki wa kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano lakini ukiwauliza juu ya faida za kuwa na Serikali hiyo huingia mitini! Wao wanachotaka tu ni "Serikali ya...
Jamani ebu nisaidieni. Kama maswali ya muungano hayajadiliwi, je wanzibari wanafanya nini kwenye tume? Maana wao wana katiba yao ya nchi ya Zanzibar tayari. Je wao wamewekwa kusaidia Tanganyika...
Kwa kuwa katiba ilikuwa ikimpa mwananchi haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila masharti ya kuwa kwenye vyama vya siiasa; bunge lilikaa na kufuta haki hiyo!
katiba inampa mwanachi haki ya...
Ndugu wana Jamii,
Napenda kutoa mapendekezo yangu kuhusu raisi aliyepo madarakani anapogombea kipindi chake cha pili ku kabidhi madaraka ya Uraisi either kwa Speaker wa Bunge au Jaji Mkuu na yeye...
Tanzania ni nchi tajiri sana duniani, utendaji kazi na usimamizi wa rasilimali zake ndio mbovu. Kwenye katiba mpya napendekeza kwamba kuwe na kipengele kinachowawezesha watanzania wenyewe waweze...
Ningependa yafuatayo yafanyiwe kazi kwenye katiba mpya
1. Wakati wa kampeni nchi iwe chini ya anayefuata kwa uongozi. Yaani kila mtu awe ni mgombea huru sio huyu anakuwa na ulinzi kama "rais"...
Tume ya Katiba Mpya, yenye Mapungufu Makubwa, yasiyoonekana Makubwa, lakini yenye Kuhatarisha Umoja*wetu:
Mnamo tarehe 6/4/2012, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Jakaya M. Kikwe...
Wengi hawaelewi ni kwa nini tunataka katiba mpya................ni kwa sababu tunataka raia wote tushiriki kuitunga katiba hiyo kupitia wawakilishi ambao tutawachagua sisi wenyewe kwa kazi hiyo...
Siku alipokuwa akitangaza majina ya wajumbe wa tume ya katiba, Kikwete alisema kuwa "Wananchi wajadili katiba, wasijadili Muungano" na akasisitiza kuwa watakaojadili Muungano watachukuliwa hatua...
Muasisi wa Ukomunisti Karl Marx akinukuu maneno ya Mwanafalsafa wa Kijerumani Hegel, alisema, Na Naomba kunukuu. "Kila mfumo una mbegu ndani yake za kujiharibu, au kujimaliza wenyewe" Nasema hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.