KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Anaeweza afuatilie wana JF, tuone kama amekuja na jipya.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wana jf naomba msaada wa namna ya kurejesha faili ambazo zimeliwa na virusi,ntashukuru kwa maelekezo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kwenye jukwaa la siasa ni kuzungumzia muda mwingi CCM,CHD na Kupakana matope kwa vyama hivyo,ina maana hoja za msingi kama KATIBA zimesahaulika? Nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna ushahidi uliowazi kuwa ccm haiko tayari kuja na katiba mpya. Yanayojiri sasa ni danganya toto. Nasema hivyo kwa kutumia uzoefu wangu unaotokana na mambo yafuatayo: 1. CCM imejitahidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wa Z'bari wapinga rasimu ya katiba, Wanataka wajadili muungano sio katiba ya tanzania,wakati wazanzbari wanayo katiba yao. Wanataka tanganyika izaliwe upya ili ndio mjadala ufanyike wa muungano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
na Asha Bani IKIWA mapambano ya kudai katiba mpya yanaendelea, jumuiya na taasisi za Kiislamu Tanzania zimesema katika madai yao kutakuwepo na mapendekezo ya kuishinikiza serikali kuanzishwa kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
... WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan, wamenusurika kipigo baada ya kutokea vurugu kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo kumekucha na mpango mahsusi tunaona serikali imeamkia rasmi na mpango mahsusi wa kuutetea muswad uliokataliwa na wananchi wa katiba mpya. *Tatizo nilionalo ni pale mwanasheria mkuu wa...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Yule kijana wa Kitanzania kutoka Zanzibar ambaye alichana Muswada wa katiba apongezwe. Kitendo hicho ni cha kijasiri na kinacho tafutwa sana na watanzania wapenda maendeleo kama Mimi.. Hivi hawa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
1.Electricity problem,should be solved immediately. 2.Poor management under CCM,Solve the problem of" UFISADI" 3.Poor infastructure esp in remote areas because in village is where agricultural...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bomani: Serikali isione aibu kuondoa Muswada wa Katiba Wednesday, 13 April 2011 21:05 Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Serikali Jaji Mark Bomani Ramadhan Semtawa na Exuper Kachenje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muswada wa Katiba hatihati kuondolewa Send to a friend Thursday, 14 April 2011 21:44 0diggsdigg Midraji Ibrahim, Dodoma MUSWADA wa Marejeo ya Katiba uliokuwa umewasilishwa katika hati ya dharura...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh Samia Suluhu Hassan amuombe radhi haraka mwenyekiti wa (JUMAZA)Sheikh Farid Hadi kabla hatujamsomea kisomo malum. Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Bill on Constitution ‘will be withdrawn' Thursday, 14 April 2011 22:42 By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dodoma. The Constitution Reform Bill, which has sparked heated arguments at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau napenda kuwatangazia wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake kuwa kesho tarehe 13/04/2011 kutakuwa na mkutano wa kukusanya maoni kuhusu mswada wa kubadilisha katiba,utafanyika katika ukumbi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipepata tetesi kuwa ile hati ya dharula ya mswada wa sheria ya katiba mpya imeondolewa.Je ni kweli?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukitafakari utagundua kuwa Serikali, CCM hawataki Katiba mpya Tuesday, 12 April 2011 20:21 Na George Maziku Mwananchi UKIWASIKILIZA kwa makini viongozi wa serikali na wa Chama Cha Mapinduzi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
*Muswada waendelea kupingwa kila kona *Sheikh Zanzibar achana vipande rasimu yote *Sitta: Kuvunja Muungano ni uwendawazimu *Kisumo: Tukivaa vilemba vya vyama tutaumia Na Waandishi Wetu MJADALA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Saturday, 09 April 2011 MJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Tundu Lisu, jana alitoka ndani ya ukumbi wa mkutano kuhusu mjadala wa maoni wa muswada wa sheria ya mapitio ya...
0 Reactions
113 Replies
10K Views
Watanzania tuna sehemu nyingi duniani za kujifunza mapambano ya Civil Rights na Mafanikio ya Wananchi Mashujaa duniani kote. Tuna mifano mikubwa ya kutuamsha damu zetu na kuona kwamba hakuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…