KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Nimeona kwenye taarifa ya habari ya habari ya saa 2 ITV kuwa watoto wengi waliletwa kuanzia asubuhi saa 11 ili kujaza viti. TV imeonyesha watoto wakiwa wamelala na fujo kuzuka baada ya watu kuhoji...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Tusubiri tuone composition ya hiyo tume basi. lkn nilisema nashea "hisia".
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hatuitaji kufiga mfano wa nchi, bali tunaitaji kufuata wito wa kiroho ambao msukumo wake umejengwa na mahitaji halisi ya kinyakati na kimazingira tuliyonayo, ni suala la utashi unaojali heshima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatuitaji kuiga mfano wa nchi, bali tunaitaji kufuata wito wa kiroho ambao msukumo wake umejengwa na mahitaji halisi ya kinyakati na kimazingira tuliyonayo, ni suala la utashi unaojali heshima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam, Niko ndani ya ukumbi wa Karimjee Hall ambapo Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba, inakusanya maoni ya wadau wa Dar es Salaam kuhusu mchakato wa katiba. Kikao kinaongozwa na Mwenyekiti...
5 Reactions
88 Replies
9K Views
Warioba: Wananchi wasizibwe midomo *Ni katika mjadala wa Muswada wa Katiba mpya *Ataka kila kitu kijadiliwe kupata kwa uwazi *CCT yasema rais amepora madaraka ya wananchi Na Tumaini Makene...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kuhusu kuhudhuria public hearing ya mswaada wa katiba Wanaharakati wafunga barabara na kuendesha public hearing kuhusu mswada wa kuandika katiba mpya baada ya kukataliwa kuingia ukumbi wa...
4 Reactions
143 Replies
13K Views
nimeshangazwa sana na taarifa za kuahirishwa kwa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu muswada wa Katiba mpya pale Karimjee. Kwamba mkutano ule umeahirishwa (ITV news, saa 2 usiku) baada ya mtu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Nionavyo mimi mjadala unaoendelea unaonekana kutekwa zaidi na wanasiasa kwa kila mmoja kuvutia kwa chama chake na kuona alichoona yeye watu waone ndicho sahihi. Hebu wawaache wananchi kwa fursa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikwete siyo tatizo, Makamba siyo Tatizo, Pinda siyo Tatizo, Werema siyo tatizo, Kombani siyo tatizo, wengi siyo tatizo!!: TATIZO NI MFUMO WALIORITHI KUTOKA KWA WAKOLONI. TATIZO NI NYERERE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inakuwaje inapofikia baba anamkuta mkewe analia na yeye anaanza kulia? Nani alitazamiwa kumyamazisha mwenzie? Angalia majibu yako yaende na dhamana uliyonayo mbele ya watanzania? Mbona mengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chadema kupitia kwa Dr Slaa wanajianda kufanya maandamano kudai katiba na Ongezeko la umeme je kwnini dR slaa anatumia nguvu kadai katiba? Je anafaa kwenda jeshini maana ndo wanatumia nguvu wakiwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa waliosikiliza kipindi cha Baragumu cha Channel Ten asubuhi hii watakuwa wamesikia maoni ya Hamadi Rashidi kuwa Mswada huo ni mzuri na watanzania tunatakiwa kuunga mkono, baada ya kipengele cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata taarifa za kusikitisha muda huu kuwa kwenye kongamano la katiba DSM mwanafunzi mmoja wa chuo cha ustawi wa jamii amepigwa na mabaunsa wa CCM na ameumizwa vibaya sana kiasi kwamba meno...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
*Ni katika mjadala wa Muswada wa Katiba mpya *Ataka kila kitu kijadiliwe kupata kwa uwazi *CCT yasema rais amepora madaraka ya wananchi PAMOJA na kuzuka kwa zogo kubwa lililosababisha mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HATUTAKI TENA KUBURUZWA: WASEMA WAZANZIBAR Katika ukumbi wa salama Hall, hoteli ya Bwawani mjini zanzibar, kamati ya bunge ya katiba na sheria inayoratibu maoni juu ya mswada wa sheria ya kuandaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna somo kubwa kwa watanzania kwa muswada uliopelekwa bungeni kuhusu hoja ya kuandika katiba mpya!!!!! Kwanza Kongamano la UDASA siku ya Jumamosi tarehe 2, Machi 2011, liliacha waTz midomo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu Zangu, TUMEONA na kusikia kwenye taarifa ya habari TBC1 jana usiku, Waziri wa Sheria Na Katiba Bibi Celina Kombani akitamka; kuwa utaratibu wa kukusanya mawazo ya wadau juu ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani mimi sioni kifungu kinachompa JK mamlaka ya kuunda tume ya kuandika katiba mpya. Ila kwenye misingi ya katiba ya JMT ya 1977 inasema 'Katiba inatungwa na Bunge maalum la jamhuri ya muungano...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Maoni ya watanganyika ndio yataamua hatima ya wazanzibari, hii inatokana na kweli ya kwamba vituo vimeweka Dodoma na Dar ktk ardhi ya Tanganyika. Swali ni je wazanzibari watajifunza nini ? na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom