KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Civil Society Organisations have prepared inputs on the draft Constitutional Review Bill 2011 to present at the April 7 Public Hearing in Dodoma. In a nutshell, the general comments are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana bodi, leo asubuhi, nimelisoma tangazo la Ofisi ya Bunge, kwenye magazeti ya leo kuwaalika wadau na wananchi kuja kutoa maoni yao juu ya Muswada huu wa Mapitio ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye kilio cha Wanzanzibar kusikilizwa maoni yao kwenye ukusanyaji maoni ya marekebisho katiba ya Tanzania kama sehemu inayojitegemea, kimesikilizwa. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu! Asubuh bungeni wakati wakijadili mswada wa namna ya kutunga sheria ya kusimamia rasmu ya katiba, Zitto aliomba muongozo wa spika, na kusema kuwa, ni vema wabunge wakapata muda wa kwenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahojiano na Mh.Jussa – Wasaliti watupilia mbali hoja binafsi | MZALENDO.NET Written by Mrfroasty (Ufundi) // 05/04/2011 // Habari, Sauti // 2 Comments Na Ally Saleh, Heka heka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wana bodi, Hatimaye ule Muswada Tata wa Marekebisho ya Katiba, umewasilishwa rasmi Bungeni leo kwa ajili ya kutangazwa kwa mara ya kwanza chini ya hati ya dharura. Baada ya hapo ndipo...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
jamani wana jf, ni kweli tz katiba mpya itawezekana? maaana hadi sasa ni mizengwe imetawala.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kweli tume hiyo ya katiba itakuwa huru kwa kutoshirikisha serikali, wanasiasa na vyama vyao vya siasa? Ni kweli hakutakuwa na mamruki wa kisiasa na vyama vyao?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuesday, 29 March 2011 21:20 Mwandishi Wetu MUSWADA maalumu wa kuunda Tume ya kukusanya maoni na kupendekeza muundo wa Katiba mpya ya Tanzania, unatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Aprili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ibara ya 8 ya katiba hiko wazi juu ya nani ana mamlaka ya mwisho ya nchi hii, na rais aliapa kulinda hilo. je? kama sisi wananchi mpaka sasa hatutaki yeye aandae utaratibu wa kutunga katiba mpya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF tulijadili na hili kwa manufaa ya Taifa letu Serikali yawapindua wananchi katika mchakato na Edward Kinabo na Lucy Ngowi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Monday, 04 April 2011 23:30 By Mkinga Mkinga Dodoma. A bill on the formation of a new constitution will be the centre of attention in the two weeks of Parliamentary sessions which start...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapo nyuma wananchi tulionyesha wasiwasi mkubwa na nyinyi kujihusisha na katiba kwa peke yenu, baada ya kutuibia uchaguzi wetu October 2010 ikatuondoa kabisa imani kwenu lakini bado...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kongamano la UDASA jana Jumamosi tarehe 2, Machi 2011, limewaacha waTz midomo wazi, wakishindwa kuelewa dhamiri ya muswada huu!!!!!!!. Haiingi akilini kwa serikali yenye nia njema na mustakabali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa zaidi ya mwezi sasa media zimetulisha kiasi cha kutuvimbisha akili habari za Loliondo-sijui taifa limefaidika nini zaidi ya kuchochea maafa ya wanaokufa kwa sababu ya kujazwa matumaini matupu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
For many years since the country readopted the multiparty political system, political stakeholders especially from the Opposition camp have been calling for constitutional changes to enable one to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Written by administrator // 31/03/2011 Na Dkt. Harith Ghassany Leo nawaletea baadhi ya nakala za barua asilia kutoka nyaraka za Umoja wa Mataifa (UN), zenye kuthibitisha mtiririko wa kuwepo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeamua kuhama chanel sikutegemea chombo cha umma kikawa na ufedhuri na kumpuuza mtz kiasi hiki! Licha ya kongamano lenye kila sura ya kuamsha hasira ya mnyonge juu ya ubambucha wa chama cha ccm...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MUNGU NDANI YA KATIBA YA WATANZANIA HONGERA JUDGE SAMATA My hope sasa Mungu anajibu kupitia wazee wachache wenye BUSARA, kama Judge Samata.Nilikua napata shida sana ni jinsi gani MUNGU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kadri nilivyowasikia wawakilishi wa hivyo vyama vikuu vya upinzani inanipa hamasa kuwa kuna siku suala la katiba mpya kuwaunganisha who knows. Mtatiro wa CUF- ikibidi kuchimbika patachimbika...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom