NAAMINI TUNACHOHITAJI NA MAREKEBISHO YA KATIBA NA SIO KATIBA MPYA KAMA WANASIASA HASA WA UPINZANI WANAVYOSEMA NA KUSHIKIA BANGO
SIAMINI KAMA WATANZANIA WAMEANDALIWA VYA KUTOSHA KUHUSU MABORESHO...
Jaman wana JF naomba tusaidiane katika hili hivi kuna umuhimu wa kuwa na makamu wa Rais pamoja na Waziri Mkuu Tanzania? Na kama upo ni kwa ajili ya kazi gani? Na Waziri Mkuu anafanya kazi gani...
Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar siyo yanayoudhoofisha Muungano
March 14, 2011
Dkt. Shein, Dkt. Karume na Maalim Seif
Makala ya Tundu Lissu iliyochapishwa na gazeti la MwanaHalisi...
Wana-JF Naomba kutoa mawazo yangu kuhusu Katiba Mpya kama ikitungwa basi kisisahaulike kifungu kitakacho komesha RUSHWA a.ka Ufisadi. Na kianze mara moja kutumika na Mafisadi wote kama wakina...
Oya mazee mm nilikuwa naona kwanza watu wapewe elimu kwanza kuhusu New katiba la sivyo hatuta fikia malengo mazeee au mnaionaje hiiiiii iiiiiiiii iiiiiiii
TAHADHARI kwa mmiliki wa Jamiiforums: Sitaki kulishwa maneno. Kwa mara nyingine tena posti nilizoandika zinabadilishwa pasi na idhini yangu, pasipo mwenye kubadilisha kubainisha wazi nyongeza ni...
Source: Gazeti mojawapo la leo 7.3.2011
Kwamba katika muswada wa kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya utakaowasilishwa katika kikao cha bunge kinachoanza 5.4.2011 serikali itazingatia hoja...
WAZIRI WA SHERIA NA UTAWALA BORA WA SMZ,Mhe Abubakari khamisi bakari
Wah. Wazanzibari Wenzangu, Wake kwa Waume,
Wah. Wageni Waalikwa,
Wah. Salaam na Amani Ziwe Juu Yenu.
Utangulizi
Wahe...
YouTube - Skia hii kitu kutoka kwa Jenerali Ulimwengu na mchakato wa katiba 2011
YouTube - Sikiliza Cheche za Mb Tundulisu kuhusiana na mchakato wa katiba hapa nchini
YouTube - Mwanaharakati...
Zanzibar Director of Public Prosecutions (DPP) Othman Masoud Othman has said the present form of the Union Government whereby President of Zanzibar is no longer Union Vice President following the...
kwa njisi ilivyo binafisi nilipendelea serikali ya umoja wa kitaifa ambayo: chama kitakacho pata wabunge wengi kinaunda baraza la mawaziri,waziri mkuu atoke kwenye chama cha kikuu cha upinzani...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inafanya marekebisho ya katiba ya mwaka 1984, ambayo yanaipa Zanzibar hadhi kamili kama nchi ndani ya Jamhuri ya Muungano.
Marekebisho hayo ya katiba...
Tanzania: We Want More Say in This Union, Zanzibar Tells Tanzania Govt
by Bamuturaki Musinguzi14 February 2011 (allafrica.com)
Nairobi The course of the 47-year existence of the United...
TUJIKUMBUSHE WATANZANIA!!!!!!!!
Watanzania Je! Si Bora Tukaongozwa na Hekima Kuandika Katiba Mpya?????????
Kwa mawazo yangu bado naona CUF wana agenda yao na suala la Katiba Mpya...
Mara nyingi hakuna mtawala anayependa watu waandamane dhidi ya serikakali yake au hata dhidi yake. Maandamano kwa nchi zisizothamini na kutambua misingi thabiti ya demokrasia ndio njia ya msingi...
Tanzania wanaishi watu wenye dini mbalimbali na zaidi Waislamu na Wakristo! kumekuwa na malalamiko mengi ya chini kwa chini kuwa Dini haipewi nafasi ktk maamuzi mengi muhimu ya nchi yetu!
Pia kuna...
Wakuu mi nadhani kuna haja ya katiba hii mpaya tunayoitafta sasa hivi kwa hali na mali kuweka wazi suala la viongozi wa nchi kung'ang'ania madaraka.yani kwa mfano, suala la misri, jordan, tunisia...
Ndugu Wanajamii,
Mimi ninaunga Mkono suala la kuwa na Katiba Mpya.Lakini tatizo langu na Hofu yangu kwa Tanzania wengi hawajui hata hiyo katiba ya zamani ya mwaka 1977 inamapungufu gani?Kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.