From LEONARD MWAKALEBELA in Dodoma, 9th February 2011 @ 04:36
DAILY NEWS
THE government is expected to move a bill to kick-start constitutional review process in April.
The Prime Minister, Mr...
kuna maneno mengi aliyoyaongea Jenerari; mojawapo ni kuwa wakati wakiwa kwenye peak na Mkapa walibadilisha kipengere cha katiba kuhusu ushindi wa rais uwe hata kwa kura moja tu (simple majority)...
MAKOSA YA HOJA ZA MSEKWA KUHUSIANA NA KATIBA
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni vizuri tujitahidi kutenganisha watekelezaji na Katiba. Katiba inaweka tu vyombo vinavyoingiza watekelezaji hao Hilo...
Habari za jioni wanaJF.
Tunatambua kwamba mpaka sasa hakujawa na kauli iliyo wazi kutoka serikalini inayoonyesha kama watanzania watapatiwa katiba mpya.
Leo hii mh.rais ametoa kauli nyingine...
Karibu kila jambo linalotokea tunakimbilia kusema suluhu ni katiba mpya! Je ni kweli kwamba katiba mpya pekee inaweza kutukomboa na matatizo tuliyo nayo wa TZ?
Tanzania ni nchi huru inayokatiba iliyoidhinishwa mwaka 1977 na kurekebisha kila kipindi inapobidi. Kwanini tusiendelee kuirekebisha kama ilivyokua mwanzo. nini hoja ya msingi ya kutaka katiba...
Mimi kwa maoni yangu ningependa bila kujali vyama vya siasa dini, kabila wala sura ya mtu, inapofikia kipindi cha uchaguzi mkuu, kabla viongozi hawajachukua fomu za kugombea nyadhfa mbalimbali...
Kauli ya Kamati Kuu ya CCM kuhusu Suala la Katiba Mpya
Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Dar es Salaam tarehe 20/1/2011 chini ya Uenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, ilijadili...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemshangaa Mwanasheria mkuu kwa kusema kauli aliyotoa kuhusu Katiba mpya kuwa ni maoni yake binafsi. Amesema kauli anayotoa kiongozi yoyote akiwemo yeye mwenyewe Pinda...
:thinking:Kwa maoni yangu napendekeza utaratibu ufuatao katika kuandaa/kuandika Katiba Mpya ya Tanzania.
Hatua 1:Kubainisha udhaifu/mapungufu yaliyomo katika Katiba ya sasa.Mapungufu hayo...
Naomba wote tukae tutafakari mambo muhimu tunayotaka yawe kwenye katiba mpya. Ni kweli kwa sasa tuna nia moja ambayo ni kupata katiba mpya. Basi na tutoe mapendekezo, na hii thread mwisho wa siku...
TUCTA tusaidieni hili liwekwe wazi kwenye katiba mpya kwa faida ya sasa na hata miaka hamsini ijayo.
Jambo lenyewe linahusu kwamba fedha tunazochangia kwenye mifuko mbalimbali ya akiba kwa kuwa...
Kwa mapendekezo yangu Katiba Mpya inatakiwa iweke wazi mambo yafuatayo:-
Hapa ni kwa nafasi za Urais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakurugenzi wa Wizara/Mikoa na Wilaya, Mkuu wa...
spika wa bunge na makamu mwenyekiti wa sisiem atakuwepo leo saa tatu usku hotel ya moven pick kwenye mjadala wa katiba,ITV na Redio one watakuwa live kwenye tukio hilo.Je atazungumza pointi au ni...
hivi huyu msekwa kusema eti katiba yetu haina makosa ila tuna tatizo la kimaadili kichwani zinamtosha kweli?..
sasa mfano hicho kifungu kinachosema kuwa rais wa tanzania hatoshtakiwa popote akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.