KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Hivi hii katiba mpya walalahoi kama mimi wana nafasi ya kuchangia maoni yao....? Kifanyike nini...?mlala hoi apate nafasi hiyo....?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wale ambao hamkuona kipindi cha kongamano la katiba la UDSM kinarudiwa leo. ndo kimeanza.. fungua ITV ufaidi!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hawakuona kongamano la katiba au wangependa kutazama tena watune ITV sasa ivi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale waliokosa kongamano la katiba j'moc iliyopita. ITV wanarusha kwa sasa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato na fukuto lililopo nchini hivi sasa na kugusa hisia za karibu kila mtanzania mpenda maendeleo na demokrasia..nikiwa kama mdau mkubwa tu katika maendeleo ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba msome ibara hii niliyoinukuu kutoka kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Angalieni ibara ya 54(5) na mnisaidie kuielewa,hainiingii akilini. “Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
katika uongozi sifa mojawapo kuu ya kiongozi ni kuamua. Maamuzi ya kiongozi yanaweza tokana na namna kadhaa ,mojawapo ya hizo ni kutokana na ushauri,kura, au visheni binafsi ya kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kazi yenu miliyoifanya kama UDASA siku ya Jumamosi ya tarehe 15/01/2011 ni nzuri na inastahili pongezi za kipekee. Kama mlivyoahidi inatia moyo kuona kuwa mtakuwa na mijadala mingi ya aina hiyo na...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wana JF wapi ninaweza kupta video ya kongamnao la katiba lililofanyika Jmosi tar 15 Jan 2011 Chuo Kikuu chga DSM na ambayo tutaweza kudownload ili tuweze kuisikiliza kwa kwa utulivu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana ma mtafuruku wa Dowans- Waziri Ngereja amabaye ni waziri mhimili alitamka kuwa serikali imeamua kulipa Deni. Kwa tafsiri ni kuwa baraza la mawaziri chini ya mkulu walisharidhia. Halafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kongamano lililoisha juzi UDSM mada kuu iligusa maeneo makuu matatu: Haja, Mchakato na Maudhui ya Katiba Mpya. Wajumbe wote walionekana kukubalina hususani na kipengele cha kwanza-Haja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunataka Katiba mpya kwa ajili ya nani? Lula wa Ndali-Mwananzela Januari 19, 2011 KAMA jibu lako msomaji ni kuwa “ katiba mpya ni kwa ajili yetu” basi inakupasa uendelee kusoma makala hii kwani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UPDP kujadili katiba mpya mwezi ujao Na Rabia Bakari CHAMA Cha siasa cha UPDP kinatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka mapema mwezi Februari kwa ajili ya kufanya tathmini ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
e: Kongamano la Katiba na Hoja ya Mnyika Originally Posted by Didia Katika kongamano lililoisha juzi UDSM mada kuu iligusa maeneo makuu matatu: Haja, Mchakato na Maudhui ya Katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mashaka sana na uharaka wa mkwere wa kuteua 'kamati' yake ya uandikaji wa Katiba ambayo itaichimba kaburi la chama cha mafisidan.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uwakilishi bungeni kwa zaidi ya asilimia sabini ni haramu kwa sababu hautokani na wananchi wanaoishi maeneo husika ila wahamiaji kutoka mijini huwanyang'anya wakaazi wa maeneo yale uwakilishi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF. Mlimsikia hoja za huyu 'kambwa mnuka Ufisadi'? Rafiki yangu wa karibu aliniambia alitumwa na mafisadi kuharibu hoja za wasomi. Mnasemaje? Pia mi niliridhika sana na point za Lwaitama...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Lowassa alitoa tahadhari hiyo jana wakati akifungua studio ya muziki ya FLEM, jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa hivi sasa inaoneka kuwapo kwa mashindano ya kuharibu amani kutokana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Bomani ataka mjadala wa Katiba usiwe wa pupa Imeandikwa na Grace Chilongola, Magu; Tarehe: 10th January 2011 @ 23:50 Imesomwa na watu: 221; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hey wadau woote wa Tanzania, Nafurah kujiunga nanyi jameni Ebu onyesheni ushirikiano wenu kwangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom