KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Nini maoni yako kwa katiba mpya? Rais apunguziwe nini?? Tume ya uchaguzi iweje? Mawaziri wateuliwe nani? Mikataba yote ipitiwe na bunge? Rais ashitakiwe pale anapofanya makosa? Je Rais...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wengi walipokuwa wanazungumzia uundwaji wa katiba mpya sikuwa nimetambua ni kwa sababu gani lakini sasa nimeona ina umuhimu mkubwa kwani japokuwa sikuwa nimezaliwa wakati katiba iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shivji, Ulimwengu kuwasha moto wa Katiba Dar na Nasra Abdallah KONGAMANO kubwa kuhusu mchakato wa uundwaji wa Katiba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
EVER SINCE INDEPENDENCE in 1961, Tanzanians have lived under regimes that have exploited and oppressed them. The vast majority of our people have become poorer, and many are living in greater...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wandugu wanaJF, Katika eneo muhimu tunalopaswa kuangalia kwa umakini mkubwa kwenye mapitio ya katiba yetu, ni uadabishaji wa viongozi pamoja na rais mwenyewe wanaofanya madudu wakiwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimesikia kuna mdahalo wa wasomi juu ya katiba mpya utakaoongozwa na nguli wa sheria prof.issa hivji ss naomba kuuliza au kupata uhakika ni wapi, lini, saa ngapi na kama wote tunakaribishwa au ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani naomba kufahamishwa na member aliyebobea katika masuala ya katiba au anayeifahamu vizuri mapungufu yake au kipi cha kubadilishwa kifungu cha zamani na ushauri wa kifungu kipya.naona...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa nini kila alitendalo raisi wengine hamtaki hata kulivumilia mkaone matokeo yake yakoje? JK tumia mamlaka yako ilionayo kikatiba, busara zako ukatuandikie katiba mpya mwaka huu. Sisi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wiki moja toka JK atangaze rasmi kuwa naye ANAUNGA MKONO SWALA LA katiba mpya, lakini mpaka sasa hivi ninavyosema, ninauhakika changa hili litaendelea kuwasha mpaka atakapo maliza 5 years yake na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa Watanzani wenye mapenzi mema na nchi hii, habari kwamba rais Kikwete amekubali kuandikwa katiba mpya, hizi ni habari njema!!! Ila, kama ana utashi wa kweli wa kisiasa juu ya jambo hili...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Changieni basi habari za Pinda kwenye MWANANCHI ya leo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:frown: Jamani kila mtu anajua kuwa jambo la kudai Katiba mpya lilikuwa na lipo katika mkakati wa CHADEMA tangu wakati wa kampeni za uchaguzi uliochakachuliwa kwa kishindo. CUF (bara/dar) nao...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ili kuonyesha Dunia kwamba utawala wako unafuata sheria, bila shaka yeyote na una lengo la maridhiano ya kitaifa; Na kilicho tokea Arusha wewe huhusiki bali ni wahuni wachache Waliofanya hayo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
na Nasra Abdallah KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepingana na utaratibu uliopendekezwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na ule wa rais wa kuundwa kwa tume katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nina swali linanitatiza kidogo,kwahizi nchi zetu za africa(Tanzania) ambazo chama kimoja kinatawala kimabavu hata kama hakijashinda. haiwezekana kuundwa kwa katiba ambayo chama kimoja(sio mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi majuzi tumemsikia mheshimiwa Rais Dr JK akisema ataunda tume makini kuratibu mchakato wa kupata katiba mya, je hii tume inapaswa kuwa na watu gani? nawakilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
watanzania sasa wameamka kutoka usingizini kuidai katiba mpya inayoendana na hali halisi ya wakati uliopo lakini ni suala la kusikitisha kuwa watanzania walio wengi hata rangi ya katiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wote tunajua yaliyotokea Arusha, sina haja ya kuyaelezea. Binafsi naamini tiba yake ni mass production ya elimu ya juu na si katiba. Tatizo hapa, ni mindset ya wananchi. kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili ni moja ya mambo ambayo hata mimi niliposikia nilishituka. siyo siri nilikuwa sifahamu. ukweli ni kwamba mpaka sasa katiba tunayoitumia ni katiba ya mwaka 77, na ndiyo ya tano kwa kuhesabu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je ni Janga gani linalokabili taifa chini ya utawala wa CCM? Je ni Janga gani linalokabili taifa chini ya utawala wa CCM? Ufisadi 41 44.1%...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom