1. KUANZISHA MAHAKAMA YA KADHI
2. KUFUTA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
3. IRUHUSU MGOMBEA BINAFSI ktk ngazi za udiwani na ubunge
4. Raia wawe registered kiwilaya na sio watu kutoka moshi kuja kumiliki...
Mhadhiri mwandamizi wa UDSM (msitaafu) na mwenyekiti wa Kigoda cha Mwl Nyerere amewaambia wanafunzi wa Udom kuwa Katiba ya Tanzania ya 1977 inampa Rais mwanya wa kuwa dictator.
Amesema hayo...
Katiba Mpya
SOURCE: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
KATIBA YA SASA
BAADA ya malumbano, mijadala, maandamano na kauli za hapa na pale kudai uundwaji wa Katiba Mpya, hatimaye Rais...
Ukifanya tathimini unaweza kukuta asilimia 80 ya watanzania hawaijui na wala hawajawahi kuiona katiba ya nchi yao ya Tanzania. Wakati huo wanasiasa wanasimama majukwaani na kusema kiwango cha...
Watanzania Kuna Hatari Kubwa ya Kumwacha JK Kuunda Katiba ya Tanzania. Tumeona Upande Upi Mpaka Sasa Anatetea Hasa Katika Kupigwa Risasi na Kuuwa Watanzania Wenzetu Arusha. Tunaona Hatari Kubwa...
JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA
DAR ES SALAAM (UDASA)
inawaletea:
KONGAMANO LA KATIBA
MADA KUU:
MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA
WAZUNGUMZAJI WAKUU:
1. PROFESA...
KONGAMANO LA KATIBA MPYA TANZANIA 2011
JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA
DAR ES SALAAM (UDASA)
inawaletea:
KONGAMANO LA KATIBA
MADA KUU:
MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA...
Send to a friend WATAALAMU wa fani mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wameamua kujitosa katika vuguvugu la kupigania katiba mpya nchini na wamepanga kukutana ili kuweka bayana...
Channel 10 wananiudhi sana sasa hivi kwenye kipindi cha Je tutafika yupo jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani Brigedia hashim Mbita wanaongelea kuhusu katiba lakini nasikiia kwa taabu hata neno...
Tusiende kwa mkumbo tu. Seriously ukiwauliza wana JF, at least walio na elimu ya shahada, kuwa ni wangapi wana kopi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kitakuwa ni kichekesho kwa...
..binafsi sioni umakini ktk hoja ya kuwa na serikali 3. siamini kama hicho ndicho ambacho wa-Zenj wanahitaji kwa sasa hivi.
..vilevile naamini serikali 3 zitaongeza mzigo wa matumizi haswa kwa...
Tanzania kweli kuna mambo, yaani hilo linchi sijui ni laana???????
Wazee wa CCM wameza shubiri ya katiba!
Source: Hapa
Tuesday, 04 January 2011 21:15
Katibu mtendaji wa baraza la...
Wana Jf
Kwanza niwapeni pole wadau wote na wanaharakati kwa yote yaliyotokea huko Ar.
Kwa habari za kuaminika nilizopata jioni hii ni kuwa Prof Shivji atatoa mhadhara juu ya Tafakuri juu ya...
Wapambanaji; Ukombozi unaendelea kutenda kazi na nchi lazima ikombolewe kutoka ktk kada na ngazi zote, na hasa kupitia Katiba mpya!
Kwa hili, Nguvu ya Umma itashida daima. Kongamano hili la...
Tume ya kukusanya maoni inashangiliwa
M. M. Mwanakijiji
KATI ya vitu ambavyo Rais Jakaya Kikwete hakuvifanya kwenye salamu zake za mwaka mpya ni kuwaahidi Watanzania Katiba mpya ifikapo...
Katika hatua ya kuweweseka Celina Kombani amejigamba hategemei kufukuzwa kazi sijui alimpa limbwata JK CHEKI ZAIDI source Mwananchi:
SIKU moja baada ya CUF, kumshauri Rais Jakaya Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.