KATIBU Mkuu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kauli zinazopishana kuhusu masuala yanayohusu mustakabali wa nchi ikiwamo suala la Katiba mpya, zinaashiria kukua kwa...
The Constitution of Kenya
Mimi napenda ile ya Mawaziri kufanyiwa vetting
na ile ya wananchi kuwatimua wabunge useless
zaidi unaweza kupata toka hapa:
http://kenya.rcbowen.com/constitution/
*Ni kuhusu kuridhia mabadiliko ya katiba 2011
*CUF wahoji, ni kuweka viraka, au katiba mpya?
Na Rabia Bakari
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuweka wazi msimamo wa kauli...
Habari za kuaminika zinasema tume inayo undwa kwa ajili ya kupita mikoani kuwaelezea wananchi juu ya mabadiliko ya katiba,inachakachuliwa kwanza ndio ianze kazi.MAONI ZAIDI( PLS)
CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimemshauri Rais Jakaya Kikwete, kuwafukuza Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba Celina Kombani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema kutokana na...
Salaam Jf, tangu jk atoe ahadi ya katiba mpya, nimeanza kukumbuka sana tukio lilitokea zama zilizopita ktk maisha ya kijijini kwetu. Wawindaji 2 walienda kuwinda msitu wa mbali na...
Julius miselya(0715342969)wa taasisi ya aford amesema kuwa kikwete ni mtuhumiwa wa wizi wa kura na chanzo cha malalamiko ya katiba mpya na hivyo hana sifa ya kuteua jopo la katiba mpya...
Baada ya rais Kikwete kutamka ridhaa yake katika hotuba yake kwa taifa siku ya Ijumaa 31.12.2010, kuruhusu kuandikwa katiba mpya,na baada ya kuonekana wazi kwamba hoja ya kuandikwa katiba mpya...
GreatThinkers,
Sikio la kufa..........................................
Aliyeua kwa upanga hufa kwa..................................................
Mwana wa nyoka ni...
Wananchi Tumesikia Hotuba ya JK Akitoa This Time Akiwa Ikulu Kuogapa Wananchi na Chadema Kumfundisha Adabu Tena. Somo Hapa ni Kwamba Huwezi Kuwakandamiza Watanzania Milele Ipo Siku Kama ya Tarehe...
Hivi Rais Obama anaweza akaamka na kuamua siku moja kuunda Tume ya Kupitia Katiba Mpya na kuwaahidi wananchi wa Marekani ambao baadhi yao wanaona Katiba inahitaji mabadiliko Katiba Mpya kwa ajili...
Upo msemo usemao panapofuka mosh hapakosi kuwaka moto au kufuka moto. Taifa hili tumekuwa na aman ya muda mrefu lakini sasa tunapaswa kujuwa katiba hii tunayo ihitaji inamambo makubwa mawili...
JK yaelekea haelewi misingi ya kuandika katiba mpya kuwa yapaswa kuwa ni shirikishi kuanzia uteuzi wa wale watakayoyakusanya maoni ya wananchi........................uamuzi wa JK kuunda Tume yake...
Wana CDM wenzangu, napenda kutoa ushauri kwa viongozi wetu wa chama na wabunge wetu CDM kuwa tumshukuru rais wetu KIKWETE kwa kukubali kuunda katiba mpya. Tunachotakiwa hivi sasa ni kujipanga...
Ndugu wanabidii,
Ikiwa mara yangu ya kwanza kuchangia katika jukwaa hili kuhusu hili suala la katiba naomba niseme kuwa kuna mamluki wa CCM sasa wameamua kuiteka hoja ya katiba mpya. Kama...
Kama jk anataka kweli kuondoa fitina na kulitakia mema taifa hili-basi watu hawa wawili wanafaa kabisa kwa vyovyote na kwa maslahi ya umma kuongoza tume ya katiba mpya.
1. Prof issa shivji...
KAULI ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kuundwa kwa katiba mpya ni ya kiungwana; na uthibitisho kwamba CHADEMA waliposusa hotuba yake Bungeni, aliguswa. Na sasa amejua hawezi kushindana na nguvu...
January Makamba
Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.