Wana jf, hivi kwa sasa tunahitaji Katiba mpya kwanza au tunahitaji kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba mpya. Nimeulilza hivi kwa sababu kuna watu wanataka tudai Katiba Mpya bila ya kujali...
Alisema kinachohitajika sasa hivi ni kupata michango mingi ya mawazo ya wananchi kuliko kupoteza muda kwa kile alichokiita kuzungumza kama bata kila kukicha - AG Werema
Phrase from Mwananchi...
Tangu kuanza kwa hili la madai ya katiba mpya ambayo ndiyo itakuwa dira yetu watz wote, naona kemekuwa na upinzani mkubwa mno kutoka kwa watawala. Ukifuatilia utagundua ya kwamba jamii nzima...
KATIBA MPYA
mjadala wetu mkubwa uliopo sasa kuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba ya nchi yetu.
Baada ya kuandikika mada yangu fupi kuhusu katiba hapo jana, nimepokea maoni ya wadau...
Jaji Omary Makungu, Mwanasheria mkuu wa Zanzibar (SMZ)
Jaji Fredrick Werema, Mwanasheria mkuu wa Tanzania
Friday, 31 December 2010 00:14
Na Salim Said
MJADALA wa katiba sasa umeingia sura...
Majaji wapingana
Friday, 31 December 2010 00:14
Salim Said
MJADALA wa katiba sasa umeingia sura mpya baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi...
Nimeambiwa humu ili topic yako iwe na viewers wengi for somehow you have to find a way to link with Zitto... hahaha. Anyway, sina haja hiyo topic yangu niliyoanzisha zaidi ya miaka mine iliyopita...
Kadri mjadala wa katiba mpya unavyozidi kupamba moto kila kona ya nchi hii ni muhimu sasa tukapiga hatua mbele kwa kuanza kutafakari je tunahitaji katiba ya namna gani? ikzingatiwa kuwa la muhimu...
Habari ndugu zangu wapeendwa, leo sina mengi sana ya kuandika hapa kama ilivyo kawaida yangu. kwa kifupi sana nataka kujadili kuhusu madai ya katiba, si vibaya lakini tunapaswa kujiuliza kwanza ni...
Jaji Werema sijiuzulu kwa Dowans, Katiba Send to a friend
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema
SIKU moja baada ya wadau mbalimbali kumshukia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji...
MI NAWASHANGAA SANA WATANZANIA,
hII KATIBA ILIYOPO MAMILIONI YA WATANZANIA HAWAIJUI INAZUNGUMZIA NINI, NA IMEFUATWA WAPI. wATU WANAKUFA WANAONEWA WANAFUNGWA BILA HATIA, NA WENGINE WANAACHWA HURU...
Kwa mawazo yangu naona CUF wana agenda yao na suala la Katiba Mpya!!!????; sababu zangu ni hizi hapa:-
1) Katiba, sheria mama, kimsingi ni suala la bunge-chombo cha kutunga sheria! Mimi nadhani...
Jana chama cha wananchi CUF kiliitisha maandamano ya kuwasilisha mapendekezo ya katiba mpya. Licha ya maandamano hayo kuzuiwa na polisi dakika za mwisho wanachama wa CUF waliendelea na maandamano...
Wananchi Tumesikia Jaji Werema? Kampeni ya Kukataa Katiba Ndio Imeanza. JK Kampata Jaji Werema na Wengine Waziri wa Sheria na Katiba Kuanza Kukataa Katiba kwa Kutumia Hii Misemo Watanzania...
Nawapongeza CUF na kuwalaani CDM kwa ukimya wao katika suala hili la Katiba. CUF wamethubutu jambo ambalo ni gumu kufanywa na CDM maana wao wako kimaslahi zaidi. Kama sivyo jitokezeni mniambie kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.