Serikali ya wanafunzi UDSM inaungana na wananchi kudai katiba mpya.
Rais wa DARUSO bw Mathiasi Kipala amesema hivi karibuni wataichambua katiba iliyopo na kuandika 'katiba' wanayoitaka na...
MSIMAMO wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kutaka isiandikwe katiba mpya badala yake iliyopo iwekewe viraka, umewakera wasomi, wanasiasa na wanaharakati ambao kwa nyakati tofauti jana walimtaka...
CHAMA Cha Wananchi (CUF) jana kiliwazidi ujanja polisi waliokuwa wakidhibiti maandamano yao baada ya kufanikiwa kuyafanya na kuwasilisha rasimu yao sifuri ya katiba kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Gazeti la Mtanzania linatuhabarisha ya kuwa Mbunge wa Ubungo Mheshimiwa John Mnyika amedai yakua Katiba iliyopo ina makosa 90 yanayohitaji kusahihishwa.................
Mnyika: Katiba ina...
Mara chache sana huwa tunapata taarifa za kujenga na zisizo za kishabiki kutoka gazeti la Uhuru na hii ya leo ni moja ya hizo.........................
Gazeti la Uhuru linatuhabarisha ya kuwa...
Tokea vuvuvugu la Katiba mpya lipambe moto hasa baada ya Uchaguzi wa mwaka huu 2010, polisi nao wanaonekana kutoa mwongozo wa namna ya kudai Katiba. Kama siyo usanii walioufanya jana Jijini Dar Es...
GreatThinkErs,
Kama kweli tuna nia kuendeleza nchi yetu, mi naona kila MKOA/JIMBO ihangaike na maendeleo yake.
Hofu ya mikoa ya Singida na Dodoma kuwa haina kitu tuitoe sasaivi kuna Uranium...
Hapa najaribu kuweka table, mtakuwa mnaediti na kuongeza majina ili tujue public figures gani waliotoa maoni yao kuhusu katiba mpya. Ni majina ya wanasiasa individuals walio maarufu nchini...
:embarrassed:
Ninachofahamu ni kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mfumo wa Katiba. Kwa mantiki hii ni lazima kila kiongozi, iwe kwa kupenda au kwa kutokupenda awe anaifahamu katiba kabla ya...
Hivi wana JF katika mihimili mitatu ya dola iliyopo..... yaani the sovereignty of the executive, parliament and judiciary (bunge, mahakama na serikali) muhimili upi unapinga mawazo ya katiba mpya...
SERIKALI NA KAULI MKANGANYIKO JUU YA 'WANANCHI KUTAKA KUANDIKA KATIBA MPYA' SASA HIVI, NI ASHIRIO SAED MWEMA AGIZA MABOMU YA KUTOSHA MWAKA MPYA TUKAUANZE KABISA UWANJANI MPAKA KIELEWEKE...
Jamani sio vizuri kumdai katiba mpya jaji CHANDE wakati ndio kwanza ameapishwa jana. Tumpe kiasi cha muda kwanza apunguze kesi nzito zilizoko mahakani. Vyombo vya habari viwe fair.
Jaji mkuu...
Nimeshangazwa na Kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali kupinga mchakacho wa kuwa na katiba mpya, ila anatunga hoja ya kuweka viraka kama ilivyozoeleka kusudi uchakachuaji uendelee. Huku ni...
Kwenye Orodha ya watu ambao moja kwa moja watakuwa wamechangia vurugu hata mauaji ya wananchi wakidai katiba mpya ni Fredrick Werema..Kwani kwa Maoni yake haoni kuwa Taifa linahitaji katiba...
Mwanasheria mkuu wa serikali Werema amesema kuwa katiba ya sasa inabidi ifanyiwe marekebishi na siyo kuandikiwa kwa katiba mpya
chanzo TBC1 Habari saa 2:00 usiku
Je, kuna mtu ana copy ya draft constitution ya CUF aliyokabidhiwa katibu mkuu wizara ya sheria na katiba, Mr Oliver Mhaiki.
Maana naskia ina mapendekezo kwenye vifungu 36 na ina vipengele 130...
Kwa kweli hata mimi sikumuelewa, ameongea kwa dharau sana, kwamba eti katiba ni kitu kidogo sana na eti watu wanaongea kama bata hawaleti hoja.
Viongozi wetu need to be serious and should think...
Napenda kwuwasalimu wana JF kwa amani naleta mawazo yangu kwa uchungu wa nchi hii kwa kuona jinsi inavyoliwa na mafioso.
Kwanza nataka tupingane na hukumu za ICC dhidi ya Tanzania kwani hukumu...
Taarifa za vyombo vya habari leo ni kwamba Werema hataki katiba mpya. Anazungumzia kuweka viraka wakati wanasheria wenzake wanasema viraka vimefika mwisho.
Ukifuatilia mabadiliko ya katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.