Ukweli Lukaza napata mashaka juu ya kelele za kila siku ambazo wanaojifaya wasomi hukaa katika vyombo vya habari na kujifanya wachambuzi wa umma wote. wakajifanya wanamapenzi na wanyonge kumbe...
Katika wiki hii nitakuwa nyumbani full time kuanzia tarehe 24 Dec 2010 hadi tarehe 4 January 2011 kama mwenyezi mungu atanifikisha huko. Nimeamua kutumia muda huo kutumia thread hii kuandika somo...
I have to agree that we have some diversity on the Katiba issue, but i do also believe that there can be some unity in that diversity in the Name of New Katiba. Amin
Kwa kweli mwenzenu...
Jana kwenye vyombo vya habari TUCTA wamejitokeza na kudai katiba mpya na kusema hiyo ni haki ya wafanyakazi ambao wao wanao wawakilisha na ya kuwa hawataki kuona katiba iliyopo ikiendelea kuwekwa...
KILIO cha makundi mbalimbali ya kijamii na kisiasa katika kudai katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kimechukua sura mpya baada ya Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislaam (T)...
Mjadala wa KATIBA MPYA UMEPAMBA MOTO. Ila tusisahau vipengele hivi katiba mpya. 1-MAHAKAMA YA KADHI. 2- UWIANO SAWA KTK AJIRA/PRESIDENTIAL POST/elimu ya juu. Kwa KATIBA MAKINI LAZIMA IZINGATIE...
Akisisitiza umuhimu wa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, Lowassa alisema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpitisha salama katika wakati mgumu.
Namshukuru Mungu hata katika kipindi kile...
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku...
16th December
Retired President Ali Hassan Mwinyi
Retired President Ali Hassan Mwinyi has dismissed the idea of overhauling the country's constitution at this time, asking: "Why now?"...
Mjadala wa KATIBA MPYA UMEPAMBA MOTO. Ila tusisahau vipengele hivi katiba mpya. 1-MAHAKAMA YA KADHI. 2- UWIANO SAWA KTK AJIRA/PRESIDENTIAL POST/elimu ya juu[kwa dini mbili kuu]. Kwa KATIBA MAKINI...
Mjadala wa KATIBA MPYA UMEPAMBA MOTO. Ila tusisahau vipengele hivi katiba mpya. 1-MAHAKAMA YA KADHI. 2- UWIANO SAWA KTK AJIRA/PRESIDENTIAL POST/elimu ya juu. Kwa KATIBA MAKINI LAZIMA IZINGATIE...
Tunaoishi tumeshuhudia Uchaguzi Mkuu ukivurugwa wazi wazi na hatimaye Kikwete kutwaa madaraka kwa kura 27% dhidi ya mshindi halali 64%;Wabunge wengi wa upinzani waliochaguliwa kihalali katika...
( Makala hii imechapwa kwenye Raia Mwema, juma hili)
Na Maggid Mjengwa
AFRIKA mvua hainyeshi ghafla, utanguliwa na mawingu . Ndio, hakuna mvua isiyo na dalili. Muhimu ni kusoma alama za...
Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislaam (T), limeanza mchakato wa kuandaa rasimu ya katiba hiyo ambayo itawasilishwa serikalini ndani ya siku 30.
WanaJF mna maoni gani.
siku za hivi karibun tanzania imekuwa ikizizima kwa madai ya katiba mpya, lakini kitu kinacho nipa wasiwasi ni kwamba je tayari tumeshapendekeza vipengele ambavyo vinatakiwa kufanyiwa mabadiliko?
Waislam wanapaswa kuunga mkono hoja ya Katiba mpya kwa nguvu zao zote ili hoja zao za kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi ziweze kujadiliwa kwa uwazi na ikiwezekana zitambuliwe rasmi. Kitendo...
Duh, Katiba inayotoa mwanya kwa viongozi kufanya uhuni kama huu hapa chini haitufai. Hebu shuhudieni wenyewe:
CCM yabaka demokrasia, Mbeya.
Na Felix Mwakyembe, Raia Mwema toleo Na. 165...
Chombo pekee cha kidemokrasia kinachowakilisha spectrum yote ya wananchi wa Tanzania ni Bunge-period.............. Serikali ya CCM imewasaliti wananchi katika maeneo kadhaa mengi, miongoni mwake...
Ndugu watazania na watanganyika suala la katiba mpya ni la lazima na wala sio ombi, kwani tayari Zanzibar wameshafanya mabadiliko. na hayo yameifanya kuikiuka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.