Na Maggid Mjengwa
AFRIKA mvua hainyeshi ghafla, utanguliwa na mawingu . Ndio, hakuna mvua isiyo na dalili. Muhimu ni kusoma alama za nyakati.
Kwa wenyeji wa Pwani wanaelewa tabia za miti hii...
Kwa wabunge wetu.Jamani wanapoiandaa hiyo katiba mpya mimi naomba ishu ya 'RAIS AMBAYE YUPO MADARAKANI KATIKA KIPINDI HUSIKA'.
Iwepo sheria inayomuondoa madarakani pindi za uchaguzi na kuliachia...
Ndugu zangu nimeona na haya maono tusiyapuuze! Ila tuyafanyie kazi sivyo tutavuna tutakacho kipanda sasa WAPO WAZALENDO WALIOTUONYESHA NJIA LAKINI VIONGOZI WETU WA WAKATI HUO HAWAKUYAWEKEA...
Ndugu wanajamii hivi sasa tupo katika mchakato wakasi kubwa kulilia Katiba Mpya kwa ajiri ya Jamuhuri yetu ya Muungano,sasa basi wakati wanasiasa wetu wanapasha moto makoo yao tayari kwa kwenda...
Wandugu,
Mwenye ufahamu naomba atujuze wadau wa JF, Je mabadiliko ya katiba yakifanyika mapema ndani ya miaka hii mitano ambayo bado JK atakuwa mtawala unadhani kutakuwa na madhara gani ( I mean...
Ndugu zangu wanaJF,
Naomba niwasilishe hoja ifuatayo:
Ingekuwa vizuri angalau tukaanza kualikwa watu muhimu katika kujadili ishue hii ya katiba mpya na tukaweza kujadiliana naye kupitia...
Wandugu. kama vugu vugu la kudai katiba mpya linavyozidi kuchukua kasi mpya kila siku, huku wananchi, taasisi za umma na binafsi, pamoja na wasomi wakizidi kutoa maoni yao(wengi wakitaka katiba...
Wanajf Katiba mpya inatakiwa kwa kuwa iliyopo sasa hivi haifai, kwa hiyo itakayokuja pengine itakidhi mahitaji ya kisheria ambayo ya sasa hivi haikidhi.
Nauliza kwamba hiyo katiba mpya...
Heshima kwenu wana JF.
Katiba mpya ndio habari iliyopo mjini sasa, ni kweli hata mimi naihitaji sana ila hofu yangu ni kuwa katiba ni maandishi tu hayatendi chochote pasi na matakwa ya...
Wale ambao wamekuwa wakinufaika na katiba mbovu tuliyonayo kwa sasa, wanaanza kuibuka taratibu kuanza kutukejeli. Mwanae mwanasiasa maarufu nchni, Yusuf Makamba, January Makamba, katika kutetea...
Wadau kabla ya kufikia mabadiliko ya katiba ni lazima tujuekitu tunachotaka kama ni katiba mpya au kiraka kipya
katiba yetu ina mapungufu mengi kwa mfano
-katiba tuliyonayo leo ni ya mwaka...
Hakuna mtanzania yeyote hivi sasa bado anadai katiba iliyopo inajitosheleza...............ubishi uliopo ni kuwa tuitie kiraka cha 16 katiba yetu......i.e minimum reforms..........na hili Bunge tu...
Unaitajika mkutano wa katiba ambapo watu wa makundi mbalimbali watawakilishwa ili kuandika mapendekezo ya katiba mpya na si kundi dogo la wataalam kama alivyoeleza muheshimiwa waziri mkuu pinda.
Edward Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha ameunga mkono mchakato wa mabadiliko ya Katiba na akipendekeza ujadiliwe kwa upendo na amani.
Amesema kwa sasa jamii nzima...
Mapendekezo: Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya uweje? Ni dhahiri katiba mpya haiepukiki kwa sasa. Utaratibu upi utasaidia kupatikana Katiba itakayokidhi mahitaji ya Watanzania.
Shiriki...
Diwani: Wengi hatujawahi kuona katiba
Na Suleiman Abeid, Meatu
WAKATI mjadala wa kuishinikiza mabali ya katiba, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga wameomba...
Ndugu wana Jf,
tunaelewa kuwa kwa sasa nchi yetu ipo katika mchakato wa kutaka kubadili katiba mpya kutoka katika ile katiba ya zamani ya mwaka 1977,ambayo haina tija kwa wakati huu tulionao...
Mh. Pinda kaonesha njia ya mahitaji ya katiba mpya. Je? Nani waunde jopo la kuangalia mapungufu ya katiba? Na waje na solutn ambayo wa Tz wote wataiafiki?
Mungu nisamehe mie. Mchangiaji wa mwisho kwenye maada iliyokuwa inaendeshwa na STAR TV kwa kujitambulisha kwa jina la MJUNI GEORGE NA HUKU SAUTI YAKE NI KAMA ILE YA PIUS MSEKWA hapa nimekoma...
Jamani Moderators, Shikamooni,
Kwa kweli pamoja na suala la katiba kuwa na jukwaa lake lakini bado kuna thread nyigi sana zimeanzishwa hapa na zinafanana sana. Hivi kweli haziwezi kuungwa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.