Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.
Tumeshuhudia kauli mbali mbali toka kwa viongozi wa Serikali kuhusu Katiba Mpya!
1. Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani: "Hakuna umuhimu wa kuwapo katiba mpya na kwamba Serikali inaridhika...
Pamoja na kilio cha watanzania tuliowengi cha kutaka katiba mpya,nakadri moto huu
wa katiba mpya unavyoendelea kupambamoto kila kukicha,kuna baadhi ya watu wana
katisha tamaa wenzao kwa kupinga...
Wasomi UDSM wamuaga Jaji Ramadhani wakidai katiba
Na Mwandishi Wetu
MWANGWI wa kilio cha ama kufanyika kwa marekebisho makubwa ya msingi ama kuwa na katiba mpya kabisa nchini, unazidi...
Monday, 27 December 2010 08:18 0diggsdigg
Anne Kilango akisisitza jambo kuhusu suala la katiba mpya alipoongea na waandishi wa habari
Boniface Meena
MJADALA kuhusu katiba mpya ya...
Magazeti mengi ya leo yanatuhabarisha ya kuwa hoja binafsi ya Mbunge machachari wa Chadema kwa jimbo la Ubungo ya kuandaa mkakati wa kisheria wa kuandika katiba mpya imetinga Bungeni...
Gazeti la Mwananchi limemnukuu Mchungaji na mwanaharakati wa haki za binadamu Mheshimiwa Mtikila kuwa ataipeleka serikali yetu Mahakama ya Afrika inayoshughulikia haki za binadamu ili kudai...
Sidhani kama ni sawa kumpa mzigo wa kubadilisha katiba mhe. RAIS KIKWETE. Kazi hii hakutumwa na chama chake (si ILANI YA CCM). Tumuache afanye kazi liyopewa kwa miaka 5 hii, kisha agenda ya katiba...
Wana JF,
Kuhusu swala la kufanya utaratibu wa kushughurikia KATIBA MPYA tayari Waziri Mkuu Mizengo, ameshalitolea tamko swala hilo na kuahidi kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kuunda timu ya watu...
MJADALA kuhusu katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umeendelea kupamba moto na jana Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango, aliitaka serikali kusikiliza kilio cha wananchi na...
Gazeti la Mwananchi linatujulisha ya kuwa Mbunge wa Same mashariki Anne Malecela ametamka kuwa katiba Mpya sasa haikwepeki hata kidogo na ni lazima iandikwe tu.........na ya kuwa ameitaka serikali...
Gazeti la Mzalendo la leo lina kichwa cha habari kisemacho.................Katiba isisabishe vurugu- Maaskofu.........................
Na maudhui iliyomo ni kuwa mchakato wa kudai katiba mpya au...
waungwana baada ya muamko wa kutaka katiba mpya mm nilikua na mapendekezo haya yafuatayo katika ucahguzi wa kumchagua Rais wa Jamhuri yetu ya muungano.
kwanza ningependa kuona kuwa Rais wa...
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema chama chake kitawasilisha kwa Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, nakala ya rasimu sifuri ya mapendekezo ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa...
CUF-chama cha wananchi, kinawatangazia wanachama na wananchi MAANDAMANO MAKUBWA YA KUPELEKA RASIMU YA KATIBA MPYA KWA WAZIRI wa katiba/sheria siku ya j/nne tar 28/12/10 saa 2 asub. Kuanz...
Kuendelea kutumia hoja za udini hata baada ya uchaguzi ni dalili za wazi za kuishiwa kisiasa Nyerere aliwahi kunena kuwa mtu yeyote anayetumia udini amefilisika kisiasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.