Nimeisoma kunako mwananchi website hapa chini.
Waandishi Wetu
WAKATI kilio cha kutaka katiba mpya kikizidi kushika kupamba moto, serikali imeamua kutoa tamko kuhusu suala hilo leo wakati...
Kidogo kidogo kumeanza kuzuka mjadala na hoja za kutengenezwa katiba mpya Tanzania. Mjadala huu na hoja hii ianzishwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani na kujaribu kushawishi...
Nafuatilia mjadala wa ama kuwepo au kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya unavyoendelea hapa nchini.
Lakini ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa wadau wakuu serikalini,wasomi,.wananzuoni,Marais...
MJADALA wa madai ya katiba mpya jana uliendelea kupamba moto wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipojitosa kwa kusema kuwa kkatiba mpya inatakiwa kabla mambo hayajaharibika na...
M. M. Mwanakijiji
Ukiondoa maneno kama uchakachuaji na tume ya uchaguzi maneno ambayo yatakuwa yanajirudia rudia tena na kuanza kukera watu yatakuwa ni Katiba Mpya. Hakuna wakati ambapo...
TOKEA kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu mwezi Oktoba, kilio cha kutaka Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimesikika kwa sauti kubwa zaidi na kilio kinazidi kuenea kila kona ya...
Hamu ya wananchi kupata katiba mpya imefikia kiwango cha juu wakati huu tulio nao kuliko wakati wowote ule Ni wakati ambao wananchi wanataka kuweka MUONGOZO Namna ya kuwapata viongozi wao...
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kinaungana na Watanzania wapenda demokrasia na mabadiliko kudai Katiba mpya ya Tanzania itakayokuwa na misingi ya kidemokrasia ya kweli na itakayoweka dira ya...
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amesema siyo dhambi watu kudai katiba ya mpya wanapobaini kuwa iliyopo ina kasoro.
Sumaye ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 katika Serikali ya Awamu...
Mwangwi wa kudai katiba mpya umezidi kusikika kila kona ya nchi baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa juzi kuvunja ukimya na kusema kuwa iundwe katiba mpya sasa kabla mambo...
GrEatThinkers,
Hivi sasa kila mtu anataka katiba mpya, hapo hapo unajiuliza huyu amekuwa kiongozi muda mrefu mbona sasa nae anashabikia??
Nimegundua kitu kimoja kuwa inawezekana kabisa kuwa Umma...
Wanaofuatilia Uongozi Afrika na Duniani Kote Watakuwa Wamesoma Hawa Mawaziri Watatu wa Kenya Walioshitakiwa Kusabibisha Vifo na Uchochezi Inchini Kenya. Tangu Katiba ya Kenya Ifanyiwe Mabadiliko...
MJADALA wa madai ya katiba mpya jana uliendelea kupamba moto wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipojitosa kwa kusema kuwa kkatiba mpya inatakiwa kabla mambo hayajaharibika na...
Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba ya nchi kwa kuwashirikisha wadau wote, vinginevyo...
Dalili nimeanza kuziona kuwa yapo makundi mblimbali ya watu wanaopigania katiba mpya lakini hofu yangu ni kuwa mjadala huu umeanza kupoteza maana kwani CHADEMA wamekuwa wakiufanya kama mtaji wa...
Habarini Wandugu,
Kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapongezeni wale wote wenye michango yenye tija kwa taifa letu.
Niendelee na mada kwa kusema ya Kwamba Sisi Kama jamii yenye kuelewa nini...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wote.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano katika mahojiano...
Nguvu zile zile na ari ile ile kwa kasi ile ile ya Operation Sangara iliyotumika kuhamasisha wananchi kujua haki na wajibu wao, sambamba na kufanya mabadiliko ya mfumo wa utawala, sasa itumike...
JUSTICE ROBERT KISANGA:
Constitution has outlived purpose
...SAYS THE COUNTRY'S PRINCIPAL LAW IS OLD AND OUTDATED
Dar es Salaam
A retired Court of Appeal judge, Dr. Robert Kisanga, has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.