Umoja wa makanisa ya kikristo imetoa tathimini ya uchaguzi mkuu na kusema kuwa lazima katiba iandikwe upya.huu ni mwendelezo wa moto unaowaka chini kwa chini wa kudai katiba mpya,hongera sana cct...
Mjadala wa katiba mpya unaendelea na unapata waelewaji wengi kadiri siku zinavyokwenda.
Lakini kadiri unavyoendelea ndivyo unavyodizi kufunika mambo mengine ambayo pia ni ya msingi na...
Baada ya ndugu Pinda kukubali kuwa kuna umuhimu wa katiba mpya ila bado hajajua kama mabadiliko yanayoitajika ni makubwa au madogo swali langu ndugu zangu je tutahakikisha vipi kwamba viraka hivyo...
Kama mchezo wa karata vile. Nadra mchezo kukamilika kabla ya mizunguko kadhaa. Safari yao ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. mkakati wao wa kwanza ukawa kutokukubali ushindi wa JK, halafu...
Ndugu zangu nimeona na haya maono tusiyapuuze! Ila tuyafanyie kazi sivyo tutavuna tutakacho kipanda sasa WAPO WAZALENDO WALIOTUONYESHA NJIA LAKINI VIONGOZI WETU WA WAKATI HUO HAWAKUYAWEKEA...
Wana jf nimesikitishwa na kitendo cha mwanasheria tena wakili mpya kabisa aliyeapishwa jana tarehe 17/12/2010 na jaji mkuu anashindwa kutoa maoni yake kuhusu uhitaji wa katiba mpya!!! Alipoulizwa...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na hoja toka miongoni mwa watanzania kwamba kutokana na mabadiliko mengi ya msingi yaliyotokea toka mwaka 1977 Katiba ya sasa ilipotungwa hadi leo kuna haja ya kuwa na...
Kuna kundi dogo la akina makamba ambalo linafaidika na katiba iliyopo ndio kikwazo kwa uamuzi ambao kikwete ameshaukubali wa kuunda katiba mpya; anataka akumbukwe walau kwa hilo maana peoples...
Katiba haiwezi kubadilishwa ikiwa mhusika mmoja hayupo,ni lazima wadau wote wawepo ili mabadiliko ya Katiba yafanywe ,tunafahamu fika kuwa katiba iliyopo haifai kwa vigezo vingi tu kimoja ni hicho...
Yasema wakati wa NEC kuvunjwa umefika
Yataja dosari zilizojitokeza Uchaguzi Mkuu
Yaonya wanasiasa kuchanganya ahadi na haki
Yakosoa CCM kuingiza Kadhi kwenye Ilani
Na John Daniel...
Heshima yako Mzee,
Awali ya wote ningependa ufahamu jinsi ninavyokupenda na kukuheshimu kama vile Maria Magdalena kwe Yesu. Kinachonifanya nikupende Mchungaji wa Kondoo za Bwana ni uadilifu...
Akizungumzia suala hili Mizengo Pinda amesema haja ipo ila bado haijaamua kama mabadiliko yanayoitajika ni makubwa au madogo
My Take
Katiba itawekewa viraka ambavyo havitatatua mahitaji ya...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameamua kulibeba suala la madai ya katiba mpya, akisema kuwa atamshauri Rais Jakaya Kikwete kuunda timu ya kushughulikia suala hilo.Pinda alitangaza uamuzi huo jana...
Wandugu,
Kama kuna wakati ambao umuhimu wa katiba mpya umedhihirika basi ni sasa. Kwa kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka huu, watanzania walio wengi sasa wametambua kwamba kikwazo kikubwa cha...
Siku chache zilizopita Waziri Kombani alitoa kauli isiyounga mkono kuhusu mabadiliko ya katiba, na kujitetea kuwa serikali haina pesa za kushughulikia mabadiliko ya katiba na kwamba suala la madai...
Mengi tumeshasema kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya, lakini mawazo yetu ni ya mtu mmoja mmoja ingawa tunakuwa wengi pale tuanpochangia hoja.
Ninachopendekeza kwa "Experts" wa mtandao huu...
..hili suala lisipochukuliwa kwa umakini litakuwa litaishia kupigwa danadana na serikali ya CCM.
..vyama vya upinzani kwa pamoja viunde Tume yao itakayokusanya maoni ya Katiba mpya...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wote.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano katika mahojiano...
Kutokana na Wimbi kubwa lililopo kwa sasa la kudai Katiba mpya, ni rahisi kukutana na kijana anaunga mkono madai ya katiba mpya, lakini ukimuuliza kwani hii iliyopo ina Mapungufu gani? atakuambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.