Napenda kuwapongeza star TV kwa ubunifu walionao kwa kupenda kuweka vipindi vizuri na vinavyoleta tija katika taifa letu. Jana kulikuwa na kipindi kizuri sana kuhusu mjadala wa KATIBA MPYA. Me...
Wanajamvi na wataaalamu
.
Wanasiasa, wanasheria na watu wengi hivi sasa kilio chetu ni katiba mpya. Wengi tuna refelct mapungufu ya NEC kama pungufu mojawapo la katiba ya sasa.Naomba kuelimishwa...
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wameanza kazi kwa kishindo ikiwa ni pamoja na kupokea maombi ya wananchi wanaotaka Katiba mpya.
Wabunge hao: Mchungaji...
Kama tulivyoahidi wiki iliyopita, elimu ya ulazima wa Katiba mpya kwa Watanzania itatolewa kupitia mjadala huu hapo kesho kuanzia saa 1 na dk 3O asubuhi katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI.
WanaJF...
Ndugu wadau,
mimi ni miongoni mwa Wabongo wengi tu ambao hatujawahi kuioma katiba ya JMT. Ingawa naunga mkono hitaji la Katiba mpya na nina sababu za wazi zinazonisukuma kuunga mkono bila kufuata...
Jamani nimeona siku za karibuni kuna watu ambao wamejiunga katika mbio za kutoa maoni kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya. Na wengi ya viongozi hawa ni wa CCM ambao siku zilizopita hawakuona...
MTANDAO huru wa asasi za kiraia zilizojikita kufanya uangalizi wa Uchaguzi Mkuu Mkuu 2010 (TACCEO), umetoa ripoti kuhusu uchaguzi huo huku ukipendekeza mabadiliko ya katiba na kuundwa kwa tume...
"Many people are claiming and advocating for a new constitution, but most don't give reasons why? Why do you think we need a new constitution? or Major changes in the current constitution? What...
Wengi wetu tunajua yaliyotokea huko ivory coast ambapo wagombea wa viti vya urais wawili wote wanadai wameshinda uchaguzi mkuu na kila mmoja kujitangazia waziri wake mkuu,naomba tujadili...
SIKU chache baada ya Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Cellina Kambani kuseam hakuna haja ya kuwa na katiba moya, Jaji Mkuu Mstaafu, Mark Bomani amesema kinachoisumbua serikali ya CCM ni uwoga...
Upi uhuru kamili 1961 Uhuru wa Tanganyika au Tanzania?
Hivi kila siku hawa chadema wanataka au wanadai mabadiliko ya 10 ya katiba ya zanzibar yanapinda katiba ya Tanzania hawa wanaonekana hawana...
Hi there will be a meeting on 11/12/2010 in Dar at KIMARA RESORT CLUB, which will tackle on political issues, constitutional issues, communal issues and civic and human rights issues. Hence...
Mimi nahisi lamsingi zaidi kwa Chadema nikudai Tanganyika yenu ambayo Mwalimu Nyerere alitumia jasho lake lote na nguvu zote kudai uhuru wa Tanganyika (11 December 1961) kuliko kudai katiba mpya...
Katiba ya nchi ni jambo linalogusa watu wote. Kwa hapa Tanzania nauliza tutumie lugha gani rahisi itayoenda kwa kila raia mwenye umri wa miaka 18 ili kumwelewesha na kumwezesha kuona umuhimu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.