Hivi mnawajua waliopo kwenye hili jopo ni akina nani?
haya ndio matatizo ya kutokuwa na open Government
website ya Wizara ya Sheria haisemi kitu (infact iko down)
Gazeti la RAI - NGUVU YA HOJA -linalomilikiwa na ROSTAM AZIZ mmoja wa makada wa CCM ambaye jina lake limekuwa likihusishwa na ufisadi mkubwa mkubwa tu hapa nchini limedai kwenye makala yake ya...
Haya ndo mapendekezo yangu kwa katiba mpya
1. Ardhi iwe ni suala la kikatiba kama ilivyoshauriwa na Tume ya Issa Shivji mwaka 1992
2. Kuwe na serikali 3 kama ilivyoshauriwa na Tume ya Jaji...
Wakuu,
Kuna thread moja tuliletewa humu inahusu maoni ya Januuary Makamba aliyotoa kwenye facebook moja akiponda kuwa hakuna haja ya mabadiliko ya Katiba.
Sasa juzi Kikwete katoa hutoba kuhusu...
Kwa kuikubali hoja ya katiba mpya kiulaini hivi,...si bure lazima "kutaingizwa" mapendekezo ya raisi kuongoza kwa vipindi vitatu ili agombee tena 2015!
Kama sio hilo,basi kuna kitu anataka ndani...
wanazuoni naomba mchango wenu. pamoja na nia yao pengine nzuri, sina uhakika ,CUF wameonyesha speed kubwa sana ya kudai katiba mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. pamoja na yote...
Wana Jf, nimekuwa nafuatilia michango mbalimbali juu ya katiba mpya. Ili kuleta uelewa kwa kada mbali mbali binafsi nimeridhika na kituo cha Startv kwani wameona umuhimu kwa kuandaa kipindi kila...
WATANZANIA MCHAKATO MZIMA WA KATIBA MPYA NI HAKI YETU NA WALA SI MILIKI YA RAIS
Heri ya Mwaka Mpya 2011 kila mmoja wetu!!
Ndugu zangu Wana-JF na Watanzania kwa ujumla wetu, tusisahau mambo ya...
Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja...
Kama Tulivyosikia Mwenendo wa Mapambano ya Katiba kwa Ajili ya TAIFA Letu. Kinachofuata Sasa ni Utaratibu Jinsi ya Kuundwa kwa Hii Tume. Kama Kawaida ya CCM, Hawata Toa Utaratibu Ili Wananchi...
Source: Mwananchi Newspaper Kikwete: Ni mwaka wa Katiba mpya
Rais Jakaya Kikwete ametangaza kuanza mchakato wa kuandikwa kwa Katiba Mpya. Katika salamu zake za mwaka mpya kwa Taifa jana, Rais...
Kutokana na kiburi alicho alichoonesha kwa wananchi, Werema asubiri wa2 wenye akili zao wafanyie kazi Katiba Mpya na yeye abaki na viraka vyake. Jk anajionea wenyewe udhaifu wa wateule wake...
Najaribu kujiuliza hivi mchakato wa kupata katiba mpya si lazima utaanza kwa kupata maoni ya watanzania ili kujua kama kweli wanahitaji katiba mpya?
Kama kutatakiwa kupata maoni ya watanzania...
CCM na CHADEMA wasidhubu kuitana faragha na KUJITOLEA maamuzi namna gani MADAI YA WANANCHI JUU YA KATIBA MPYA ifanyike, kwa kuwa kisheria katika sheria za MIKATABA moja kwa moja wanapoteza UHALALI...
Hakika, Tumeyapokea maneno ya JK kuhusu dhamira yake ya kuleta mchakato wa mabadiliko ya Katiba kwa tahadhari, isiwe tena ghiliba za kisiasa kama ilivyokwishatokea ktk utekelezaji wa tume za...
Habari za Asubuhi wanajamii!
Jaji Augustino Ramadhani amelitumikia taifa kwa nafasi hiyo kwa miaka mitatu tu! Mabo ambayo najiuliza ni je, Kikwete alipomteua mwaka 2007 hakujua kwamba amebakiza...
Zanzibar kutoka nchi, Mkoa, hadi Jimbo!
Rais kuwa Gavana.
Ni mapendekezo ya Azimio la Katiba ya CUF
Na: Malik Nabwa
Kimya kingi kina mshindo mkubwa! Na ukweli ukidhihiri uongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.