KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

BARAZA la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kukubali kuandikwa upya kwa katiba ya Tanzania, huku wakilaani nguvu kubwa iliyotumika kumshinikiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau nafikiri tujifunze yanayoendelea kule sudan kwani ndugu zetu wa kule jumapili hii watapiga kura kuhusu sudan kusini kuwa nchi,natamani na sisi tujitenge kutoka tanzania bara ili nasi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tume ya Katiba mbinu kuteka mjadala-Lissu Na Reuben Kagaruki MBUNGE wa Singida Magharibi, Bw. Tindu Lissu, amesema Tume ya Maalumu ya Katiba itakayoundwa na Rais Jakaya Kikwete, ni mbinu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na Taratibu Zinazo Tegemea Kuunda Tume ya Katiba, Zanzibar Wasipewe Effluence Kubwa Kama Bara. Jambo la Kwanza Zanzibar Wanaserikali Yao Wenyewe na Katiba Yao: EISA Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lowassa, Mzindakaya wazungumzia Katiba Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 4th January 2011 @ 23:59 WATANZANIA wanapaswa kupata elimu ya angalau mwaka mmoja juu ya Katiba, kabla ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bil185 kwa dowans ni uhujumu wa uchumi wetu.Kupandisha bei ya umeme inamaanisha maisha ya watu wakawaida yanakua magumu kutokana na uzalishaji wa bidhaa moja kua na gharama kubwa,hivyo kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF. Kila mwananchi kwa sasa kilio ni katiba mpya, mbali na Tume kuundwa tutawezeja kuhakikisha kila mwananchi anaifahamu katiba ya zamani na kufanya maamuzi ya msingi. Siyo sisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Hali hiyo siyo ilijitokeza tu Sumbawanga... najua tulimkwaza Mhashamu Baba Askofu (Damian Kyaruzi), tumekejeli imani ya dini yake, tunaomba radhi, mimi naomba radhi kwa niaba ya CCM na Serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ILI MCHAKATO WA UUNDAJI WA KATIBA UENDE, JE HAMUONI IPO HAJA YA: 1. ELIMU KUSAMBAZWA JUU YA MAANA YA KATIBA, KAZI YA KATIBA NA MAMBO MUHIMU YA KINCHI AMBAYO KATIBA INATAKIWA KU-REFLECT? 2...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa kama ulikuwa udhaifu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania kuruhusu zanzibar kurekebisha katiba yao kabla Yakurekebishwa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania??Kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongera JK kwa uamuzi wako mgumu, mimi binasi sikutengemea kama ungetamka mambo hayo magumu kwa mustakabali wa taifa letu kwa sababu kuu kwamba katiba haikuwa ilani kuu ya chama chako. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesoma kwenye Guardian ya leo (pg 3). Mbunge Nimrod anasema hakuna haja ya katiba mpya na kutaka kutengeneza mpya ni sawa na kutaka kupindua nchi. Anaendelea kusema " Rais, Wabunge na Viongozi...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
wana jf tuna jukumu la kukimbia wakati wengine wanatembea haya rasimu sifuri hii tuwape jopo la wanasheria wa chadema waweke sawa then turuke nayo kwa kasi mpya na ari mpya.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vuteni subira Katiba mpya- Msekwa Na Gladness Mboma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Bw. Pius Msekwa amewataka mwananchi mwenye mawazo Katiba kuwa na subira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kombani: Sitegemei kufukuzwa kazi Monday, 03 January 2011 20:11 Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani. Hussein Issa SIKU moja baada ya CUF...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HOJA YA KATIBA:JK amvuruga Mnyika Mbunge wa Ubungo, John Mnyika Mussa Mkama KAULI ya Rais Jakaya Kikwete kwamba anaanza mchakato wa kuandikwa upya Katiba ya Tanzania, imefilisi hoja binafsi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wana jf nimesikia tetesi kuwa mch. Mtikila amemuandikia jk barua akiomba kuwemo kwenye tume ya kukusanya maoni kutoka kwa wananchi. Sijui imekaaje hii naomba michango wana jf the great...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na rais Kikwete kukubali sera ya katiba mpya lakini ataendelea kuwa bata kwa mujibu wa mwanasheria mkuu (AG) Fredrich Warema. Warema wiki jana alisema kuwa wote wanaojadili katiba mpya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jana mchana nilikuwa ninaendesha gari yangu nikapita meneo ya mvumi misheni kule kule mjia ya kwenda kwa mzee malecela aka tinga tinga. nikiwa ninapumzika kidogo na kunywa soda ndani ya hoteli...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani nimejaribu kutafakari nimeona ili ccm wasiachie moja kwa moja madaraka ni lazima kwenyehiyo katiba mpya tunayoililia wataweka kipengele cha serikali ya umoja wa kitaifa ilimradi tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom